Vijana msidanganyike, kuoa si guarantee ya kupata tendo. Nina mwezi nanyimwa sasa

Ni Jumatatu njema! Mfungo mwema kwa ndugu Waislamu!.

Vijana mimi huwa nawachora sana! Nawaangalia tokea mbali mno mnavyodanganyana kuwa ukioa muda wowote utakaotaka tendo basi ni kufunua tu sketi na kuchomeka, haya endeleeni kudanganyana.
Ndoa ni mpango wa Mungu,ingefaa zaidi utushauri vijana namna ya kuishi katika ndoa.
 
Bado atataka mgawane mali
 
Hii hata Mimi nimeitafakari Sana ,wife hawezi kuninyima unyumba kwa mwezi mzima yaani hata angenikamata na mchepuko live.
Sijui Ni mke wa namna gani lkn kumuamini mtoa Hoja yahitaji akili itulie. Na labda kapata pure feminist.
Mke wangu si feminist. Ni mimi ndiyo huwa nafanya jitihada ili nimkere tu nifurahi. Of course nikiomba radhi huwa ananipa yote ila sitaki tu kuomba. Sababu ni nyingi mbali na hedhi, za mke kutokukupa tendo, mood kutokana na hormones, kuchepuka, kukuumiza, kukukomoa nk
 
Kusuka au kunyoa.

Ukweli mchungu ni kwamba, ndoa ina raha yake bhana. Kila mtu aliyeko na aliyepitia ndoa ana 'uzoefu' wake.

Vijana kueni makini na ushauri wa mtu mmoja mmoja, utamu wa ngoma ingia ucheze mwenyewe.
Acheni upumbavu wa kuficha ficha data na kuwadanganya vijana. Wekeni mbivu na mbichi wazi watu wachague.
 
Acha kuwatia hofu vijana, unadhani wanawake wote wanafanana na akili za mkeo? Au kwakuwa ndoa yako haina furaha basi unaona ndoa zote zinafanana na yako? Acha vijana waoe, kila mtu na bahati yake.
Wekeni mbivu na mbichi wazi. Mnapata faida gani mkiwadanganya danganya vijana nyie wazee wapumbavu wa kiafrika?! Kuna gharama gani ya kuongea uhalisia?! Wapi nimesema vijana WASIOE?!
 
Sababu siyo hedhi tu, hedhi ni moja ya sababu nyingi mno za wewe kutokupata tendo. Umeelewa wewe?
 
Nazeeka vibaya? Sawa ahsante.
 
Hapa ndipo ile point inapoingia kuwa oa ukiwa matured kiakili na sio kuwa mkubwa kiumri..
Angali ww mtoa mada umri mkubwa hun akili hata vijana wnye miaka 28 waliokaa miaka 8 kwenye ndoa wanakushinda akili...
Sawa ahsante
 
Hakika!. Na hao wajinga ni wengi mno kwa trend hii ya ndoa za sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…