The Hyper
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 1,788
- 1,101
Ndoa ni mpango wa Mungu,ingefaa zaidi utushauri vijana namna ya kuishi katika ndoa.Ni Jumatatu njema! Mfungo mwema kwa ndugu Waislamu!.
Vijana mimi huwa nawachora sana! Nawaangalia tokea mbali mno mnavyodanganyana kuwa ukioa muda wowote utakaotaka tendo basi ni kufunua tu sketi na kuchomeka, haya endeleeni kudanganyana.