Vijana msidanganywe na maisha ya mtandaoni ya mashoga, hawana utajiri wanaouonyesha

Halafu kweli, boflo alikuaga mtu wako wa karibu yupo wapi siku hizi
Sijui, alikuwa anakaa Upanga, alianza na.punga kabla hajawa boflo. Punga ilipigwa life ban.

Vijana wa leo kwa ile mikwara ya Boflo wangemkanyaga sana. Akiomba namba ya simu ukimpa tu, anakurushia laki, akiomba mkutane anakurushie laki nyingine ya taxi
 
Kipind fulani nikiwa hapa dar mtaa fulani wa uswazi ,palikufa jamaa akasemekana ni punga alikuwa nakaa karibu na ninapokaa aisee alikufa walichelewa kumzima ile maiti ilipokuja kutolewa ilikuwa inanuka kinoma wamepulizia madaw mpaka basi
 
Dah!!!kwahiyo simba nyanaume umekula sana mpunga wa boflo sio?
 
Nakusihi sana kijana, maisha magumu na ugumu wa maisha hauishi kwa kufanya ushoga. Fanya kazi halali, dunduliza, jibane nawe utafanikiwa[emoji1545][emoji1752]
 
Martin, Paul, Ommy, Mtimkavu, Noel n.k
Elton John, Sisqo, Yule mshikaji wa prison break, Eminem n.k

Dudu alisema wabongo fleva wengi ni jinsia ya 3, kuna ukweli?
Eminem huyu mwamba wa hip hop?
 
Pambana na hali yako acha kutishia watu, wewe kama ni shoga utakuwa shoga tuu na kama sio shoga hautakuwa shoga , mafanikio hayana uhusiano wowote wa kuwa shoga au laa, good chance hiyo computer unayotumia ni apple na CEO wa apple ni shoga ambaye ni one of the best in business na ni millionaire (successful), mabilioneo wengi wa Hollywood ni mashoga ,wall street & Washington ambako ndio mnaomba ruzuku kulipa mishahara yenu ni mashoga watupu,halafu watu wa dini ndio mmejaza mashoga huko makanisani na mna kesi kila kona ya ulawiti, huko misikitini nasikia waarabu wote wana boyfriends, wanaume na wanawake wengi bila kuingiliana huko nyuma ni kama hawajafanya tendo la ndoa, acheni unafiki nyie, mimi sio shoga lakini nitawatetea mashoga kutokana na wanafiki kama nyie mnaojiona watu safi kumbe dhambi tupu
 
  • Media zilizopo sasa nyingi zimeajiri mashoga na wana promote sana hiyo hali
  • Wanamuziki wa kizazi kipya ni kichocheo kizuri, wanaishi na kufanya kazi na mashoga
  • social media, sasa hii ndio baba lao. mashoga maarufu wana page zao na zinawafuasi wengi mno
  • sherehe nyingi za wanawake wa mjini ilizipendeze lazima zina mashoga
NJIA ZOTE HIZI NI KUWAANDA KIAKILI KUA USHOGA NI BARAKA KAMA BARAKA ZINGINE TU.
Miaka 7-10 ijayo, hali ya ushoga tanzania itakubarika na itaonekana ni kawaida tu. wataweza kuwa na vyama vya siasa, makanisa yenye kupigania jinsia yao hiyo. Kwa sasa wako, na wanapokea uzoefu kupitia chama hiki kilichopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…