Vijana msidanganywe na maisha ya mtandaoni ya mashoga, hawana utajiri wanaouonyesha

diploma yangu ya cuba imenisaidia kuulewa huu uzi haraka.
 
Wenye Dini yao huko Vatican wamesema waachwe kwani wote ni watoto wa Mungu ila nyie Wamatumbi mnajifanya mna hasira sana na hamjui kua wanafungishwa na ndoa huko?
 
Kwa hiyo tusikemee ushoga? Unaonaje mwanao wa kiume akiwa shoga, naye awe na boyfriend wake
 
That is why I give this advice: any couple that wants to meet together or have sexual intercourse, whether they want a baby or not, they should cover themselves with the blood of Jesus Christ and sanctify the bed with the power of the Holy Ghost. This would keep you from producing demons into this world. This explains why there are children that do not resemble the father and mother in many Christian homes. These children act so strange and behave differently from the whole family. This is because the parents did not know that there were some unseen spirit programming against their intercourse when they were meeting together. My prayer is that every one of you that has been in this kind of condition or has such a person in their family, that the Lord that touched and changed my life will also touch and change their lives. And if the ones born into their family are demon re-incarnate, may the Lord should uproot and remove them from that family in the mighty name of Jesus Christ.

 
Wenye Dini yao huko Vatican wamesema waachwe kwani wote ni watoto wa Mungu ila nyie Wamatumbi mnajifanya mna hasira sana na hamjui kua wanafungishwa na ndoa huko?
hali ya ushoga tanzania itakubarika na itaonekana ni kawaida tu. wataweza kuwa na vyama vya siasa, makanisa yenye kupigania jinsia yao hiyo.
 

Tatizo linakuja pale mzazi mmoja anapoona tabia ya Mtoto haifai lakini anamtetea mtoto Kwa kigezo cha upendo wa kipuuzi.

Yesu alikuja kukomboa watu wenye utayari.
Sheria ipo Kwa ajili ya kuwafanya waliotayari au wasiotayari wote wafanya Mema.
Ndio maana nikasema wapigwe Shaba.
Sheria za Dini zote zinaeleza hivyo.

Hata tamaduni za kiafrika zilikuwa hivyo
 
Wenye Dini yao huko Vatican wamesema waachwe kwani wote ni watoto wa Mungu ila nyie Wamatumbi mnajifanya mna hasira sana na hamjui kua wanafungishwa na ndoa huko?
Mashoga wapo tangu enzi na enzi. Hata mimi nakubali kuwa kuna binadamu wamezaliwa na hitilafu hivyo ushoga kwao ni kama only option. Kinachogomba na kukatisha tamaa ni kuona ushoga sasa hivi unapigiwa debe na kuhimiza watu wawe mashoga. Kwangu mimi ushoga ni ulemavu kama ulivyo ulimavu wowote. Wanasayansi walitakiwa kuwekeza nguvu kwenye kuona namna ya kutatua hili tatizo na siyo kuli-promote. Sisemi wauawe bali nasema tuwe active kwenye kutafuta tiba yake na siyo kama sasa hivi unakuta maandamano yakishirikisha mpaka watoto wadogo eti waukubali ushoga.
 
Umeanza vizuri, umemaliza vbaya. Hakuna sababu yoyote ya kutetea ushoga. Hakuna excuse.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…