Vijana msidanganywe na maisha ya mtandaoni ya mashoga, hawana utajiri wanaouonyesha

Wanaosagana hawashambuliwi sana sababu wale hawaharibu sana mfumo wa mwili, labda waanze kutanuana hiyo njia ya haja kubwa na vifaa vya ngono. Msagaji na msagwaji wakati wowote anaweza fanya ngono na kushika mimba. Madhara yake yapo kiimani na kisaikolojia zaidi na kibiolojia kidogo sana. Ila anayetumia njia ya haja kubwa ni tatizo kubwa kibiolojia na kisaikolojia.

Haja kubwa ni kwa ajili ya kutoa kinyesi baasi. Dunia yote ikibadili matumizi ya viungo vya uzazi ikaamia kwenye haja kubwa hakuna kuzaliana tena, ndo mwisho wa binadamu. Haijalishi ni mwanamke na mwanaume au mwanaume kwa mwanaume, ile njia ni exit ya mabaki baada ya mwili kufyonza nutrients.
 
Shukrani kwa hili andiko lako, mwenye masikio na asikie.
 
Naona kina Juma Lokole mmevamia uzi!
 
Unaongea huku umejificha mtandaoni...

Hebu kamuue tuone kama utabaki salama [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Majitu manafiki haya
 
Natamani Kama jf ingekuwa Ni kitufe Cha kuchukia, kuignore. Nk


Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mwamba kasema ile clip aliyokiri kuwa naye ni muumini ilikuwa ni prank, hivyo pengine ni sahihi kuwa sio muumini pia.

Kuoa, kuacha, kupiga kina Rihanna n.k inawezaje kuwa ni sababu ya kupinga? Nimesikia kuna msanii maarufu huko Nigeria akisemwa kuwa amepatwa na shida, aliyemsema ni mwandani wake, ni kwa muda gani, sijui!
 
Kwa maana hiyo wewe utakubali kuona mtoto wako wa kiume anafanyiwa huo ufirauni?
Yaani utatetea mtoto wako wa kiume awe anafanyiwa upumbavu na mwanaume mwenzake?

Utamtetea kabisa?
Akiwa gay or no gay atakuwa mwanangu tuu hata kama sikubaliani naye, wewe vipi utamuua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…