Vijana Msijidanganye: Ukiamua kujiajiri ni lazima uwe na nidhamu ya kazi (Self-Discipline) mara kumi (10) zaidi ya ulivyoajiriwa ndio utafanikiwa

Vijana Msijidanganye: Ukiamua kujiajiri ni lazima uwe na nidhamu ya kazi (Self-Discipline) mara kumi (10) zaidi ya ulivyoajiriwa ndio utafanikiwa

Kiukweli hamna kitu rahisi lazima usote aiseee utengeneze system ambayo itakunufaisha pia uwe makini mambo yanabadilika haraka sana ubadilike nayo uwe muelewa na ujishushe kwa wateja kwa wateja wako maana ndo wanakuweka mjini.
 
Inawezekana wanakosea kiewahili tu.

Ofcz kuajiriwa sio utumwa cz huwez kwepa utumwa.

Wangesema kuajiriwa (sometimes) ni mateso makubwa. Mabosi wengi hawan huruma.
Wanaminya na kubana stahik za wafanyakazi.

Wanaiba sana muda wa wafanyakazi. Kisa bosi hajatoka eti na wewe usitoke wakat muda wa kazi umekwisha.
Mabosi wanakupigisha mzigo oversize lakin overtime hawatoi.

Mabos hawakupi allowance na wengine hawakupi hata likizo wakati mshahara wanaokulipa haukidhi hata ya mahitaj ya mcngi.

Kuna mengi sana wanapitiwa walioajiriwa hiv viajira vya bora siku ziende ni mateso makubwa. Kwa mtazamo wangu wengi wanachanganya haya mambo na utumwa (which turn to be true).

Though ulichokisema ni sahihi 100% but dont ignore some facts
 
Kwa jinsi mfumo wa bongo ulivyo ukichelewa kazini wale wapigaji wanakupiga hio asubuhi wewe unakuja unakuta watu wameshamaliza zamani sana
 
Jiunge na CCM maisha yako yazidi kunyooka
Nimejiunga tayari.
Screenshot_2020-09-24-19-55-15-1.jpg
 
Ni kweli kaka, na mm ni muhanga wa hyo mishe ya kujiajiri. Yaani kuna stress Sana, na ndio naanza,
 
Back
Top Bottom