Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #41
Ukiamua kujiajiri ni lazima uwe na nidhamu (Self-Discipline) kubwa sana ya biashara na maisha...Kujiajiri ni uhuru uliotukuka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiamua kujiajiri ni lazima uwe na nidhamu (Self-Discipline) kubwa sana ya biashara na maisha...Kujiajiri ni uhuru uliotukuka.
ThanksUjumbe mzuri
Discipline!!! Discipline!!!! Discipline!!!! ndio msingi wa kila kitu.Unapata unachostahili kutokana na hustle zako.
Hakika mkuu.Kiukweli hamna kitu rahisi
Sawa mkuu.Inawezekana wanakosea kiewahili tu.
Ofcz kuajiriwa sio utumwa cz huwez kwepa utumwa.
100% agreed.Discipline!!! Discipline!!!! Discipline!!!! ndio msingi wa kila kitu.
Jiunge na CCM maisha yako yazidi kunyooka100% agreed.
Sawa mkuu.Naunga mkono hoja.
Nimejiunga tayari.Jiunge na CCM maisha yako yazidi kunyooka
Kweli kabisa mkuu.Kuna mmoja nilimkosoa akanitolea povu,lkn hiyo maneno mimi naielewa sanaThanks bro.
Vijana wanalishana uongo kila siku kuhusu kujiajiri. Kumiliki biashara sio lele mama.
Poa mkuu.Kweli kabisa mkuu.Kuna mmoja nilimkosoa akanitolea povu,lkn hiyo maneno mimi naielewa sana