Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
-
- #21
We mbona ufanyi uhanaharakati kama wa mdude umekalia kuandika humu tu sio hujui uchungu wa ndugu Yako kupotezwa kisa huu ujingaNikuulize tu swali rahisi. Hao watu wasiojulikana wanateka Wanaharakati kwa sababu gani? Je wanafanya hivyo kwa mapenzi yao wenyewe au kwa faida ya kundi fulani?? Kwako wewe kusimama kwenye HAKI ni uanaharakati lkn ukisimama upande wa madhulumati kwako ni mzalendo siyo?
Fanya kama mdude sio unaongelea humu keyboard warrior ukiwa umejifunika shuka mwenzio damu yake imemwagika kisa ujinga wake kutukana mijitu ilioshikilia DolaKawaida ya wanawake hua ni waoga .Mdude ni Mwanaume ..hayakuhusu
Watu hawaelewi nimeangalia video ya mke wa mdude akiongea imenitia hasira yaani mwanamke Kawa kama chizi huku kabeba mtoto mgongoni yote hayo ni ujinga wa mdude ila yule jamaa sidhani kama alikua timamu kichwaniVijana wengi ni maskini ,kazi kutukana watu wakishikwa wanaanza kuwapa tabu wazazi wao (slave masters) kama yule Soka ,huko kwao wanalia...Tumieni akili kufanya ubunifu siasa haina ishu utapotea tu .
Watu wanakufa vifo vibaya kutwa ila hamuelewi...Kama unataka kupambania wananchi basi anza hata kuchukua watoto wa mitaani ukae nao hata kusaidia mafukara ...Kama viongozi wanafanya uovu basi malipo yao watayapata hapa hapa duniani.
Unadhani wote ni waoga ehFanya kama mdude sio unaongelea humu keyboard warrior ukiwa umejifunika shuka mwenzio damu yake imemwagika kisa ujinga wake kutukana mijitu ilioshikilia Dola
Wewe ni nyumbu muoga keyboard warrior huna loloteUnadhani wote ni waoga eh
UWT bwanaWewe ni nyumbu muoga keyboard warrior huna lolote
Tena tanzania kama hujakutwa kwenye kiroba ufukweni basi maiti Yako haitaonekanaAt the end of day maisha ni yako..utsacrifice maisha yako kwa ajili ya watu wengine watakaoteseka ni wanao na mkeo si ajabu hata hao unaowafightia hawatahangaika na familia yako..huwezi shindana na mamlaka haijalishi uko sahihi au has sahihi..wameshika makali wewe umeshika mpini ..kamdomo kanaponza kama unakereketwa kosoa kwa staha ..ila wanawake wa wanaharakati wanakaa roho juu sana pole yao
Keyboard warriorUWT bwana
Wanakuambia eti siasa ni maisha ,wakati ni ujinga mtupu ..Mtu uache kufanya kazi uwe unakosoa tu watu.Watu hawaelewi nimeangalia video ya mke wa mdude akiongea imenitia hasira yaani mwanamke Kawa kama chizi huku kabeba mtoto mgongoni yote hayo ni ujinga wa mdude ila yule jamaa sidhani kama alikua timamu kichwani
Kabisa jamaa wamempiga hatar ni damu tu.Naungana na wewe 🙌 Tafuta ugali wa familia yako maisha yaendelee, ila deep down inauma sana yaani hii nchi daah
Maisha sio Africa aisee unauliwa mchana kweupe na watu hawana habari.Wanakuambia eti siasa ni maisha ,wakati ni ujinga mtupu ..Mtu uache kufanya kazi uwe unakosoa tu watu.
Soma historia chifu nyerere alikuta tunda limeva mtini.endapo nyerere asingefanya harakati pengine wewe hata hivi leo usingezaliwa mbumbumbu wewe
Maisha gani hivi wewe duniani umezaliwa mwenyewe baada ujipambanie wewe na familia yako unaanza kuhangaika na serikali ambapo uhalisia unaujua kwamba majamaa yameshikilia mpini wewe umeshika ukaliWanakuambia eti siasa ni maisha ,wakati ni ujinga mtupu ..Mtu uache kufanya kazi uwe unakosoa tu watu.