Denice Maxwell
New Member
- May 8, 2024
- 3
- 4
Watanzania wenzangu, hasa vijana, jikiteni kwenye kuzitafuta fursa. Achana na siasa vijana wenzangu, acheni kutumia mitandao ya kijamii kutoa maneno yasiyo mazuri kwa viongozi. Kumbuka Mungu anatutazama, ipo siku utaeleza kwanini ulitumia maneno hayo ya matusi na dhihaka.
Mama Samia ni Mtulivu sana, tumuache aendelee kuiongoza nchi yetu kwa falsafa yake. Haiwezekani akatimiza kila haja ya mtu mmoja mmoja. HATA MUNGU TUNAMUOMBA MENGI NA HATUPI YOTE.
Dkt. Samia, mwacheni afanye kile anachokiweza. Acha kabisa kutumia maneno ya ajabu kwa kiongozi wa nchi, huo ni utovu wa nidhamu kabisa vijana wenzangu.
Sipendezwi na namna mnavyotumia uhuru wa mitandao. Mimi nitaendelea kuheshimu maono ya Rais Samia na nitaendelea kuwa Raia mwema wa Tanzania.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki Watanzania wote.