Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Vijana wakiwemo na wazee wa Arusha wamevunja mzizi wa fitina kwa kuielewa katiba inayopendekezwa huku wengi wakisema kuwa hawaoni haja ya wao kuipinga na kuichukia katiba hiyo. Kutokana na kuikubali Katiba Inayopendekezwa wanawaomba vijana wenzao kote nchini kuipigia kura ya NDIYO. Huu ni ukweli usiopingika kuwa Katiba hii imejali makundi karibu yote. Nawapongeza wazee na vijana hao kwa hatua waloifikia na naamininTanzania nzima wataamka na kuwa mfano kama hawa. Safi sana.
Umeisom kweli eti maadili ya viongozi yamefutwa mmmh....acha blabla......mwenye jukumu la kuchagua mbunge ni wewe...unhekuwa na akili ungeona madhara ya mwananchi kupewa hilo rungu na siasa hizi tusingeweza kukaa na mbunge hata kidogoImefuta msisitizo wa maadili ya viongozi, inasema wabunge mizizgo wasiwajibinywe, ya nini katiba mpya, ni bomu ambalo matatizo yataanza siku ya pili tu ikianza kutumika, katiba pendekezwa ni mbaya
Vijana wakiwemo na wazee wa Arusha wamevunja mzizi wa fitina kwa kuielewa katiba inayopendekezwa huku wengi wakisema kuwa hawaoni haja ya wao kuipinga na kuichukia katiba hiyo. Kutokana na kuikubali Katiba Inayopendekezwa wanawaomba vijana wenzao kote nchini kuipigia kura ya NDIYO. Huu ni ukweli usiopingika kuwa Katiba hii imejali makundi karibu yote. Nawapongeza wazee na vijana hao kwa hatua waloifikia na naamininTanzania nzima wataamka na kuwa mfano kama hawa. Safi sana.
we mchumia tumbo tuu utapitwa na mengi sana, nahc umechqngnyikiwwlabda arusha ya bibi yako.
jiulize kwanza wewe ni nani kwanzaKatiba ya Chenge tunaijua, Wazee na Vijana wa Arusha tunawafahamu, NA WEWE NI NANI?
Kwani kuna Arusha ngapi wewe wa wapi wewe?...
....Arusha ya pwani ??
Na wewe alokutuma uje kupinga kitu usichokijua mwambie we are not reachable pia.Aliyekutuma mwambie we are not reachable. Kama ni maoni yako toa ya kwako usitusemee sisi wazee kwa ujumla. Kwanza wala ahtujaiona wala kuisoma.
Mimi sijapinga wala kukubali kwakuwa sijaisoma. Ila asitusemee kuwa ni wazee wote. Alitukutanisha lini tukaoa hilo tamko? Karibu Tengeru utupe ElimuNa wewe alokutuma uje kupinga kitu usichokijua mwambie we are not reachable pia.