Vijana na Wazee Arusha waahidi kura ya Ndiyo kwa Katiba Inayopendekezwa

Dragunov Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
2,795
Reaction score
9
Vijana wakiwemo na wazee wa Arusha wamevunja mzizi wa fitina kwa kuielewa katiba inayopendekezwa huku wengi wakisema kuwa hawaoni haja ya wao kuipinga na kuichukia katiba hiyo. Kutokana na kuikubali Katiba Inayopendekezwa wanawaomba vijana wenzao kote nchini kuipigia kura ya NDIYO. Huu ni ukweli usiopingika kuwa Katiba hii imejali makundi karibu yote. Nawapongeza wazee na vijana hao kwa hatua waloifikia na naamininTanzania nzima wataamka na kuwa mfano kama hawa. Safi sana.
 
SAFI SANA mikoa mengine nao waige huo mfano waliouonyesha hawa wazee na vijana.
 
Imefuta msisitizo wa maadili ya viongozi, inasema wabunge mizizgo wasiwajibinywe, ya nini katiba mpya, ni bomu ambalo matatizo yataanza siku ya pili tu ikianza kutumika, katiba pendekezwa ni mbaya
 
Umeisom kweli eti maadili ya viongozi yamefutwa mmmh....acha blabla......mwenye jukumu la kuchagua mbunge ni wewe...unhekuwa na akili ungeona madhara ya mwananchi kupewa hilo rungu na siasa hizi tusingeweza kukaa na mbunge hata kidogo
 
Acha uchizi vijana wa Arusha ipi hiyo hebu tupe proof unaweza kuta hata wewe katiba yenyewe hujaisoma unaanza kujumuisha mambo eti vijana Arusha.
Yambafu
 
Aliyekutuma mwambie we are not reachable. Kama ni maoni yako toa ya kwako usitusemee sisi wazee kwa ujumla. Kwanza wala ahtujaiona wala kuisoma.
 
Vijana wakiwemo na wazee wa Arusha wamevunja mzizi wa fitina kwa kuielewa katiba inayopendekezwa huku wengi wakisema kuwa hawaoni haja ya wao kuipinga na kuichukia katiba hiyo. Kutokana na kuikubali Katiba Inayopendekezwa wanawaomba vijana wenzao kote nchini kuipigia kura ya NDIYO. Huu ni ukweli usiopingika kuwa Katiba hii imejali makundi karibu yote. Nawapongeza wazee na vijana hao kwa hatua waloifikia na naamininTanzania nzima wataamka na kuwa mfano kama hawa. Safi sana.

labda arusha ya bibi yako.
 
Katiba ya Chenge tunaijua, Wazee na Vijana wa Arusha tunawafahamu, NA WEWE NI NANI?
 
Aliyekutuma mwambie we are not reachable. Kama ni maoni yako toa ya kwako usitusemee sisi wazee kwa ujumla. Kwanza wala ahtujaiona wala kuisoma.
Na wewe alokutuma uje kupinga kitu usichokijua mwambie we are not reachable pia.
 
Mimi sijapinga wala kukubali kwakuwa sijaisoma. Ila asitusemee kuwa ni wazee wote. Alitukutanisha lini tukaoa hilo tamko? Karibu Tengeru utupe Elimu
 
Nawapongeza hao wazee na vijana wa arusha kwa msimamo huo dhabiti wa kuunga mkono katiba inayopendekezwa kwa maslahi ya taifa hili na watu wake
 
Mmeamua kuiga siasa zakukodi watu na kuwalipa kwenye katiba pendekezwa!
 
Acha porojo Arusha wanajitambua sio kama wewe mchumia tumbo. Endeleeni kujidanganya
 
Hao ni wale wazee wa Arusha waizi wabaomsaidia kinana kuiba nyaraka za umma na chenge wao mwizi abakabidhiwa katiba kweki haya makitu ni maizi.

swissme
 
Vijana wakiwemo na wazee wa Arusha wamevunja mzizi wa fitina kwa kuielewa katiba inayopendekezwa huku wengi wakisema kuwa hawaoni haja ya wao kuipinga na kuichukia katiba hiyo. Kutokana na kuikubali Katiba Inayopendekezwa wanawaomba vijana wenzao kote nchini kuipigia kura ya NDIYO. Huu ni ukweli usiopingika kuwa Katiba hii imejali makundi karibu yote. Nawapongeza wazee na vijana hao kwa hatua waloifikia na naamininTanzania nzima wataamka na kuwa mfano kama hawa. Safi sana.

Inategemea ni vijana wa aina gani unaowazungumzia broda, sio Kila kijana ana mtindio wa ubongo kiasi cha kuikubali katiba yenye makengeza, hatudanganyiki; hatushawishiki!! Katiba ya Chenge na Six ni HAPANA, period.
 
Back
Top Bottom