Nyoter
Member
- Aug 2, 2014
- 58
- 7
Na wewe fanya kazi ndo ajira yenyewe ukiyoitaka ya KIBARAKA
Hhahahaaa.. subiri tamko la ijumaa ndo utajua. Ila najua hata wewe unapigatu hela zao, ila badae nikura ya hapana tu!.. raha sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe fanya kazi ndo ajira yenyewe ukiyoitaka ya KIBARAKA
hhahahaaa.. Subiri tamko la ijumaa ndo utajua. Ila najua hata wewe unapigatu hela zao, ila badae nikura ya hapana tu!.. Raha sana.
hayo ni mawazo yake tu kwani kakatazwa? Hata wewe unaweza ukalala ukaamka na kunadika kitu kama hiko na ukakipost na watu wakakichukua na kuwapa watu.
No, hiyo inaitwa COMMON SENSE ambayo ninyi mmeikataa kuitumia baada ya kulambishwa buku 7.
Shingapi kwa kila bandiko lako? ngoja nkuvute ili mzigo uongezekee.. tehteh.
Hata ukisema wenzio ndo wako tayari kupiga NDIYOOOO ikuume tuuu!
Mchumia tumbo wewe huna lolote mpuuzi tu akili hauna kichwani humo, buku7 baba yako na ukoo wenu wote.
Povu la nini sasa, basi kofia na vitenge na pilau kama unaona buku 7 ndogo/tusi.
Vijana wakiwemo na wazee wa Arusha wamevunja mzizi wa fitina kwa kuielewa katiba inayopendekezwa huku wengi wakisema kuwa hawaoni haja ya wao kuipinga na kuichukia katiba hiyo. Kutokana na kuikubali Katiba Inayopendekezwa wanawaomba vijana wenzao kote nchini kuipigia kura ya NDIYO. Huu ni ukweli usiopingika kuwa Katiba hii imejali makundi karibu yote. Nawapongeza wazee na vijana hao kwa hatua waloifikia na naamininTanzania nzima wataamka na kuwa mfano kama hawa. Safi sana.
Njaa mbaya sana.
Swissme
Unauza tigo?
ASK your buttocks
ASK your buttocks
Mwambie alokuzaa hayo maneno na acha shobo ntakuoa.
Utaoaje wakati umeolewa, umekamatika hadi ufahamu, njaa imepanda kichwani na akili ikashuka tumboni. Wanasema changanya na zako lakini wewe zako huna, unapokea tu kila unachopewa.
Anapokea tu kama mboo yote inaingia
Utaoaje wakati umeolewa, umekamatika hadi ufahamu, njaa imepanda kichwani na akili ikashuka tumboni. Wanasema changanya na zako lakini wewe zako huna, unapokea tu kila unachopewa.
Mimi sitoki Arusha, ila kwa katiba hii pendekezwa jibu ni HAPANA.