MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,924
- 6,854
Wenzio walikuwa hivo hivo baadae wakabadilika kwahiyo wewe MTK a.k.a TYTA a.k.a TETTY wala ckushangai kwa upungufu wa akili ulo nao.
Umeonaaa! yaani hapo umefikia ukomo wa akili yako kujadili uzi wako mwenyewe kwa kina ukaona ukinitusi utashinda mjadala?!
Ndio maana nikasema inategemea ni vijana wa aina gani; kama vijana wenyewe ni kama wewe; basi mkakati wenu umebuma kabla haujaanza; tukana kashifu mpaka uchoke lakini mmeshashindwa kama upeo wa weledi wenu katika maswala haya ni kama huu unaoonyesha hapa!! pole sana. nimetambua wewe hauko katika ligi yangu; unacheza chandimu wakati mwenzio niko VPL!! Bs