Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
- Thread starter
- #101
Hapa kunakuchanganyana kwa kuwa kama mtu mmoja hapendi na haelewi basi haina shida,tulio wengi tunaelewa na tumeisoma katiba inayopendekezwa vzr,kura yetu hapa arusha ni ya ndio