Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
- Thread starter
-
- #181
Vijana wa ccm arusha wenye umri kati ya 75 na 85 yrs na wazee wao wenye kati ya miaka 85 na 120 ndio hao pekee + mafisadi wachache kabisa ndio watakaopiga kura ya ndio ccm.
Inategemea ni vijana wa aina gani unaowazungumzia broda, sio Kila kijana ana mtindio wa ubongo kiasi cha kuikubali katiba yenye makengeza, hatudanganyiki; hatushawishiki!! Katiba ya Chenge na Six ni HAPANA, period.
Waswahili husema, AISIFIAE MVUA UJUE IMEMNYEA, sina mashaka na hayo maneno ulomwambia mwenzio kuwa anachamba kuanzia nyuma inaonekana hapo kwamba wewe ndo tabia yako hiyo ndo maana unajua ukifanya hivo unaweza ukapata magonjwa kama UTI naamini sijakosea naposema hivo, anyway ni vema tukajikita kwenye mada kuliko kurushiana matuc humu ndani.
Huo ni uongo ni propaganda za kupika ungefafanua wa wapi sasa wa ccm ama vijana wapi coz Arusha hawaishi wazee tu mchanganyiko cyo kweli ni mchanganyiko hata idadi wa wazee ni ndogo sana
Haha unaweza ukawa uko sawa kwamba naelewa vizuri hilo swala la UTI Nina deal na hizo cases kila siku hapa
NB MADA NIMEULIZA NI ARUSHA IPI HIYO ..WEWE NDIO UKAWA WA KWANZA KUNIAMBIA NIPELEKE BANGI UKO USHANINUNULIA HIYO BANGI ????..SASA KWENYE HIYO MADA UNAYOTAKA NIRUDI NI IPI ??
Labda Arusha ya Somalia
Nendeni mkanywe mtori na kisusio bana muache kuzinguana!
Kajikojolee wewe unapinga pinga tu hata mazuri.Inategemea ni vijana wa aina gani unaowazungumzia broda, sio Kila kijana ana mtindio wa ubongo kiasi cha kuikubali katiba yenye makengeza, hatudanganyiki; hatushawishiki!! Katiba ya Chenge na Six ni HAPANA, period.
MTK hujambo? Mie niko poa shikamooo!!
Haya yameisha ila siku nyingine sio unakurupuka tu hapa kuita watu wabakaji,ohh sijui mirembe,wanalipwa mia tano
In every action there is equal and opposite reaction
Nlipo kukosea samahani
Siku njema
Asante; nashukuru mie njiko njema sana; sijui huko kwako?! Good day ahead.
Kajikojolee wewe unapinga pinga tu hata mazuri.
Hiyo imekaa pouwa sio kila time tunapigana mikwara bana kwani sie maadui?tunajenga nyumba moja ila wewe ndo unataka kuvunja fito taratibu aisee,siku ikifika kama kawa tukagonge kura hapo vp?
Sio kosa lako; wa kulaumiwa ni waliokulea na elimu waliyokuwezesha nayo! pole
Hiyo ni physics afu ni Principle ya nini .......... Acha uoga unakimbilia wapi sasa,rudi kundini tuungane kufanya mabadiliko ya kweli vijana tujitambue tuikomboe nchi sio kukalia kutumika kama kandambili!
chamsingi ni kuacha uchumia tumbo huo acha kutumika kijana, kuwa mzalendo usiishi kwa kutumwa na wanasiasa uchwara hao, usioneshe una njaa humu moaka upinge mambo yenye umuhimu kwa maisha yako na ya kizazi chako.Wewe utanifanya nitafute pain killers zilipo ....nshafuta kauli zangu halafu bado unaendelea kuniambia natumika Kama kanda mbili... Tufanye umeshinda
Ni faraja kuona kwamba sasa unayaona maisha katika mwanga bora; Nguvu ya hoja badala ya hoja ya nguvu; staha na tafsida sahihi ndio tutapata majibu ya matatizo yanayoisibu nchi yetu; na si vinginevyo! Ubarikiwe
chamsingi ni kuacha uchumia tumbo huo acha kutumika kijana, kuwa mzalendo usiishi kwa kutumwa na wanasiasa uchwara hao, usioneshe una njaa humu moaka upinge mambo yenye umuhimu kwa maisha yako na ya kizazi chako.