Vijana na Wazee Arusha waahidi kura ya Ndiyo kwa Katiba Inayopendekezwa

Vijana na Wazee Arusha waahidi kura ya Ndiyo kwa Katiba Inayopendekezwa

Vijana wa ccm arusha wenye umri kati ya 75 na 85 yrs na wazee wao wenye kati ya miaka 85 na 120 ndio hao pekee + mafisadi wachache kabisa ndio watakaopiga kura ya ndio ccm.

Una njaa wewe hujanywa mtori asubuhi!!! Hujui hata tafsiri ya ujana kuna vijana wenye miaka 75 -85 ha ha ha ndo madhara ya kudandia mada ukiwa umefumba mamcho, aisee babangu utaumia aisee!usituchafulie hali ya hewa vijana tumekataa kutumika ndo maana Arusha yetu inaendelea kutulia.
 
Huo ni uongo ni propaganda za kupika ungefafanua wa wapi sasa wa ccm ama vijana wapi coz Arusha hawaishi wazee tu mchanganyiko cyo kweli ni mchanganyiko hata idadi wa wazee ni ndogo sana
 
Inategemea ni vijana wa aina gani unaowazungumzia broda, sio Kila kijana ana mtindio wa ubongo kiasi cha kuikubali katiba yenye makengeza, hatudanganyiki; hatushawishiki!! Katiba ya Chenge na Six ni HAPANA, period.

MTK hujambo? Mie niko poa shikamooo!!
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Waswahili husema, AISIFIAE MVUA UJUE IMEMNYEA, sina mashaka na hayo maneno ulomwambia mwenzio kuwa anachamba kuanzia nyuma inaonekana hapo kwamba wewe ndo tabia yako hiyo ndo maana unajua ukifanya hivo unaweza ukapata magonjwa kama UTI naamini sijakosea naposema hivo, anyway ni vema tukajikita kwenye mada kuliko kurushiana matuc humu ndani.

Haha unaweza ukawa uko sawa kwamba naelewa vizuri hilo swala la UTI Nina deal na hizo cases kila siku hapa
NB MADA NIMEULIZA NI ARUSHA IPI HIYO ..WEWE NDIO UKAWA WA KWANZA KUNIAMBIA NIPELEKE BANGI UKO USHANINUNULIA HIYO BANGI ????..SASA KWENYE HIYO MADA UNAYOTAKA NIRUDI NI IPI ??
 
Huo ni uongo ni propaganda za kupika ungefafanua wa wapi sasa wa ccm ama vijana wapi coz Arusha hawaishi wazee tu mchanganyiko cyo kweli ni mchanganyiko hata idadi wa wazee ni ndogo sana

Wee kibaraka wa CCM usituchafulie hali ya hewa hapa vyama havina umiliki wa vijana,kama huna hoja si ukae kimya!idadi ya wazee ni ndogo sana umewapeleka wapi acha uongo!kwanza kasome Katiba inayopendekezwa ndo uje hapa!
 
Haha unaweza ukawa uko sawa kwamba naelewa vizuri hilo swala la UTI Nina deal na hizo cases kila siku hapa
NB MADA NIMEULIZA NI ARUSHA IPI HIYO ..WEWE NDIO UKAWA WA KWANZA KUNIAMBIA NIPELEKE BANGI UKO USHANINUNULIA HIYO BANGI ????..SASA KWENYE HIYO MADA UNAYOTAKA NIRUDI NI IPI ??

Nendeni mkanywe mtori na kisusio bana muache kuzinguana!
 
Nendeni mkanywe mtori na kisusio bana muache kuzinguana!

Haya yameisha ila siku nyingine sio unakurupuka tu hapa kuita watu wabakaji,ohh sijui mirembe,wanalipwa mia tano
In every action there is equal and opposite reaction
Nlipo kukosea samahani
Siku njema
 
Inategemea ni vijana wa aina gani unaowazungumzia broda, sio Kila kijana ana mtindio wa ubongo kiasi cha kuikubali katiba yenye makengeza, hatudanganyiki; hatushawishiki!! Katiba ya Chenge na Six ni HAPANA, period.
Kajikojolee wewe unapinga pinga tu hata mazuri.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Haya yameisha ila siku nyingine sio unakurupuka tu hapa kuita watu wabakaji,ohh sijui mirembe,wanalipwa mia tano
In every action there is equal and opposite reaction
Nlipo kukosea samahani
Siku njema

Hiyo ni physics afu ni Principle ya nini .......... Acha uoga unakimbilia wapi sasa,rudi kundini tuungane kufanya mabadiliko ya kweli vijana tujitambue tuikomboe nchi sio kukalia kutumika kama kandambili!
 
Asante; nashukuru mie njiko njema sana; sijui huko kwako?! Good day ahead.

Hiyo imekaa pouwa sio kila time tunapigana mikwara bana kwani sie maadui?tunajenga nyumba moja ila wewe ndo unataka kuvunja fito taratibu aisee,siku ikifika kama kawa tukagonge kura hapo vp?
 
Hiyo imekaa pouwa sio kila time tunapigana mikwara bana kwani sie maadui?tunajenga nyumba moja ila wewe ndo unataka kuvunja fito taratibu aisee,siku ikifika kama kawa tukagonge kura hapo vp?

Ni faraja kuona kwamba sasa unayaona maisha katika mwanga bora; Nguvu ya hoja badala ya hoja ya nguvu; staha na tafsida sahihi ndio tutapata majibu ya matatizo yanayoisibu nchi yetu; na si vinginevyo! Ubarikiwe
 
Sio kosa lako; wa kulaumiwa ni waliokulea na elimu waliyokuwezesha nayo! pole

Nini tena hapa whats up!!! MTK Umebug men mbona malumbano back to the topic vijana na wazee wa Arusha Say Yes to th Proposed Constitution, kwani tatizo ni nini hapa?si wapo?
 
Hiyo ni physics afu ni Principle ya nini .......... Acha uoga unakimbilia wapi sasa,rudi kundini tuungane kufanya mabadiliko ya kweli vijana tujitambue tuikomboe nchi sio kukalia kutumika kama kandambili!

Wewe utanifanya nitafute pain killers zilipo ....nshafuta kauli zangu halafu bado unaendelea kuniambia natumika Kama kanda mbili... Tufanye umeshinda
 
Wewe utanifanya nitafute pain killers zilipo ....nshafuta kauli zangu halafu bado unaendelea kuniambia natumika Kama kanda mbili... Tufanye umeshinda
chamsingi ni kuacha uchumia tumbo huo acha kutumika kijana, kuwa mzalendo usiishi kwa kutumwa na wanasiasa uchwara hao, usioneshe una njaa humu moaka upinge mambo yenye umuhimu kwa maisha yako na ya kizazi chako.
 
Ni faraja kuona kwamba sasa unayaona maisha katika mwanga bora; Nguvu ya hoja badala ya hoja ya nguvu; staha na tafsida sahihi ndio tutapata majibu ya matatizo yanayoisibu nchi yetu; na si vinginevyo! Ubarikiwe

Hope maamuzi yako yataungana na yangu pamoja na ya,wtz wote kuiunga mkono katiba inayopendekezwa vijana tumetumika sana na vyama vya siasa kuharibu taswira ya nchi especially Arusha ,I hope Arusha youth we a no longer going to be used by other people or political parties to destroy our peace!remember to vot for the proposed constitution,lets keep the future of Tanzania alive!!!!
 
  • Thanks
Reactions: MTK
chamsingi ni kuacha uchumia tumbo huo acha kutumika kijana, kuwa mzalendo usiishi kwa kutumwa na wanasiasa uchwara hao, usioneshe una njaa humu moaka upinge mambo yenye umuhimu kwa maisha yako na ya kizazi chako.

Tatizo liko wapi nithibitishie hiyo taarifa yako wala kusingekua na huu mjadala
Wewe uzalendo una udifine vipi ??? Mimi na wewe Nani anaetumika ??? Wewe si ndio umeleta udaku wako huku unakurupuka hapa umeshindwa kunithibitishia hao wazee na vijana ni wapi ?? Mambo yenye umuhimu kwenye maisha yangu na kizazi changu unajua ni yapi ?????
All men are created equal that they are endowed by their creator with certain unalienable rights that among these are life,liberty and the pursuit of happiness ..Kama wewe katiba ndio kitu cha muhimu kwenye maisha yako na vizazi vyako hongera Sana
 
Back
Top Bottom