Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
- Thread starter
- #181
Vijana wa ccm arusha wenye umri kati ya 75 na 85 yrs na wazee wao wenye kati ya miaka 85 na 120 ndio hao pekee + mafisadi wachache kabisa ndio watakaopiga kura ya ndio ccm.
Una njaa wewe hujanywa mtori asubuhi!!! Hujui hata tafsiri ya ujana kuna vijana wenye miaka 75 -85 ha ha ha ndo madhara ya kudandia mada ukiwa umefumba mamcho, aisee babangu utaumia aisee!usituchafulie hali ya hewa vijana tumekataa kutumika ndo maana Arusha yetu inaendelea kutulia.