Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
- Thread starter
-
- #101
Nilijua tu utaduwaa!! lakini kwa kuwa nimeshaona wewe hauko katika ligi yangu hususani katika midahalo na mijadala kama hii; naishia hapo mzee, jazba; mitusi; kuitana majina ya ajabu ajabu na kashfa sio hulka yangu; napenda mijadala ya Nguvu ya hoja sio Hoja ya nguvu. pole.
HUYO NI MGANGA NJAA... kapewa buku 7 ndo zinamsumbua humu JF
Wewe unashangaa vijana wa Arusha kuipigia kura katiba pendekezwa badala ya kushangaa baharini shilingi inapozama halafu meli inaelea! HahahahaNdio mlijikusanya mkasema nyie machalii wa R katiba pendekezwa NDIYO.:lol::lol:
Kwanza wewe sio wa Arusha hiyo rubega lazima wewe wa MANYARA.
Wewe unashangaa vijana wa Arusha kuipigia kura katiba pendekezwa badala ya kushangaa baharini shilingi inapozama halafu meli inaelea! Hahahaha
Mimi sijashangaa ila nimestuka katiba kama umeisoma wewe ujumuishe wote wasema Ndiyo.
Nakushauri bwana theki siku ya kupiga kura uende ukapige kura ya NDIYO maana haki zako kama kijana zimo mule ndani, kwa sasa isome kwa makini kisha uielewe na unapoona una mashaka mashaka uliza watu wakufafanulie.Mimi sijashangaa ila nimestuka katiba kama umeisoma wewe ujumuishe wote wasema Ndiyo.
Theki,aisee vijana saa hivi tumejitambua tumetumika vya kutosha sasa hivi tumeshtuka tunamaamuzi yetu!uungana nasi sio kila time tunapigwa mabomu afu wanaotutuma wanakula kuku kwenye helkopta!!
Sasa unataka niendelee kuvaa kijani na kula pilau mimi nimechoka kudanganyika aaaah wee Baki mwenyewe Huko.
Ha ha ha ha, Mlikutana wapi na hao wazee na vijana mkaamua mambo hayo. Usichanganye vijana wa Arusha na wale wanaoletwa na malori kutoka mikoa mingine kuja kuamulia vijana na wazee halisi wa Arusha. Arusha ni waelewa hawasemewi. Umepata ngapi kwa hili?
Theki maji huwa yanachemka lakini hayasahau ubaridi,usikubali kutumika suala la Katiba mpya halina Chama,ndo maana CDM,CCM,TLP,CUF,NCCR -MAGEUZI na wote wasio na vyama, wenye dini na wapagani wote wamo ndani ya nyumba!tukileta ushabiki wa vyama hatufiki ndugu na tutaendelea kutumia ya zamani ambayo tumekua tukiilalamikia kuwa na mapungufu!
Nakushauri bwana theki siku ya kupiga kura uende ukapige kura ya NDIYO maana haki zako kama kijana zimo mule ndani, kwa sasa isome kwa makini kisha uielewe na unapoona una mashaka mashaka uliza watu wakufafanulie.
Tatizo ukishakuwa uvccm kila kitu Ndiyo.
Nitasemaje ndio wakati hakuna mawazo yangu kama mwananchi au kijana ambayo yalichukuliwa?katiba Imetungwa na ccm then I takuwaje na uwakilishi pande zote.wewe kama ushazoea Ndiyo mwaka huu Mbona watakoma haburunzi mtu kbs tushastuka ndio maana hatuendelei kila siku bora ya Jana.
Mimi sijapinga katiba mpya au kusema watu wasishiriki Tatizo utaratibu unaotumika nchi hii kuforce mambo.Katiba ni suala la ushirikiano wa wananchi kwanini ccm inaforce mambo.
Mimi katiba nikasema Hapana that is my vote kususa sio sahihi ila hapana yangu ipo.
Wewe unaavyoonyesha mshakubaliana mseme ndio Sababu coz nyie ccm hamtaki kuangushana na hii sio sahihi.
Ndiyo maana mimi mwaka huu hawanipati ng'oo we kama ushakula pilau Hilo unalo.
Hao ni wale wazee wa Arusha waizi wabaomsaidia kinana kuiba nyaraka za umma na chenge wao mwizi abakabidhiwa katiba kweki haya makitu ni maizi.
swissme
Acha ushamba wewe kiazi, wenzio wanasubiri kuipa kura ya ndiyo tuu, we endelea kupoteza muda wako, we wa wapi wewe hata hujui wenzio wameikubali hiyo katiba na wameshaahidi kupiga YESSSSSSS kazi kwako ukitaka jinyonge kama imekuuma.Mimi niko Arusha. acha uongo na nikikukamata utahadithia. Pumbavu umeona cc wa arusha ndi mbulula kama wewe.
Mimi niko Arusha. acha uongo na nikikukamata utahadithia. Pumbavu umeona cc wa arusha ndi mbulula kama wewe.
Mimi niko Arusha. acha uongo na nikikukamata utahadithia. Pumbavu umeona cc wa arusha ndi mbulula kama wewe.