Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
- Thread starter
-
- #161
Acha porojo Arusha wanajitambua sio kama wewe mchumia tumbo. Endeleeni kujidanganya
hao walokutuma namashaka nao maana wamemweka mtu ambaye ni paranormal human afu unajiita mwala, we ni mwala au Mwaloni?
Acha kupotosha na usiwasemee vijana,wanajitambua na umuhimu wao katika ujenzi wa taifa wanaujua!!!mchuma tonge ni wewe!
peleka zako huko mbona unanishobokea sasa,kama mada haikuhusu unapotezea sio lazima uongee!Katiba inayopendekezwa umeielewa subiri tarehe ya kupiga kura ifike ukapige kura ya ndiyo sio uache ubishi na hasira!
watumishi wa LUMUMBA at work
Wewe umetumwa na nani ? Inaonekana wewe ni ccm usiye watakia watanzania mema acha hiyo kapeni kipofu
hivii mi na wewe mburula na waganga njaa wenzio ni nani anapokea buku 7???
tuambie wewe kiboga mnapiga lini kura ya hiyo TOILET PAPER kuamua kama tuitumie msalani au HAPANA?
watumishi wa LUMUMBA at work
Mada husika ni ipi Mimi nimemuuliza mtoa mada ni arusha ipi hiyo wameongea na vijana na wazee nyie mnajiofanya mnajua kuongea mnadakia ooh sijui bangi ..kwa akili zako timamu Nani katoka nje ya mada hapo
NB bora Mimi nabana mdomo ..wewe umebana nini ????? Alafu watu wanafukua kiulaini
Wewe unawaza uhalifu,nyie ndo mnaolipwa 500 muandamane na wala wewe sio wa Arusha unapoteza muda tu hapa,ungekua unajielewa usingeanza kunifuatilia mimi wa Arusha sehemu gani?inakuhusu nini?au wewe mbakaji nini?suala la msingi hapo ni vijana tumejitambua na sasa tuna maamuzi yetu,Arusha ya zamani sio ya sasa tumekataa kutumika kwenye maandamano sasa hivi tunatafuta chapaa kwa kufanya kazi kama huelewi nchi yako inaelekea wapi na suala la katiba inayopendekezwa tupishe!!!
Hao ni wale wazee wa Arusha waizi wabaomsaidia kinana kuiba nyaraka za umma na chenge wao mwizi abakabidhiwa katiba kweki haya makitu ni maizi.
swissme
Hivi wewe mwanamke unajielewa au umekurupuka tu asubuhi unavuja damu ukaona ukimbilie Jamii forum
Kweny post zangu kuna sehemu nliyosema nakufuatilia ????
Halafu ndio Mimi ni mbakaji ila mbaya zaidi na deal na under age sio ajuza Kama wewe
Yeah mia tano nalipwa niandamane tatizo lako nini maisha yanaenda
Wewe unauza nini ili uishi ???
Haaaaa nilisema tu wanaanza kujitaja kwa tabia zao! Hivi wewe kwa ID yako na sifa zako ulizomwaga hadharani unafaa kuingia humu???aisee pisha mbali kabisa kumbe nabishana na Mirembe type wanaolipwa mia tano kuandamana ha ha ha ha!!
Waswahili husema, AISIFIAE MVUA UJUE IMEMNYEA, sina mashaka na hayo maneno ulomwambia mwenzio kuwa anachamba kuanzia nyuma inaonekana hapo kwamba wewe ndo tabia yako hiyo ndo maana unajua ukifanya hivo unaweza ukapata magonjwa kama UTI naamini sijakosea naposema hivo, anyway ni vema tukajikita kwenye mada kuliko kurushiana matuc humu ndani.Wewe usitegemee uandike upuuzi alafu mie nikujibu kwa busara.... Hapa muosha huoshwa ..hakuna cha ukinipiga shavu hili nikugeuzie na lingine
Wewe hata ukijua sifa zangu unanisaidia nini
Bora mimi wa mirembe kuliko wewe unaejielewa ila kuchamba unaanzia nyuma kwenda mbele halafu unalalamika unaumwa UTI ...sasa asiejielewa Kati yangu na wewe sijui ni Nani
Baba yako ndo anapokea hizo buku 7 ndo maana kakutuma humu ndani.hivii mi na wewe mburula na waganga njaa wenzio ni nani anapokea buku 7???