Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
- Thread starter
- #161
Acha porojo Arusha wanajitambua sio kama wewe mchumia tumbo. Endeleeni kujidanganya
Acha kupotosha na usiwasemee vijana,wanajitambua na umuhimu wao katika ujenzi wa taifa wanaujua!!!mchuma tonge ni wewe!