Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
- Thread starter
- #141
Kaka bhana topic hapo juu haijataja idadi hiyo ya wazee 500 na vijana 500 kama unavyosema wewe naona unachanganya frequencies au umevaa miwani ya mbao hapo? Soma tena topic afu uone kama kawa bias, angelikuwa amespecify hapo sawa lkn hajataja ni idadi gani na kutoka wilaya zipi au kata zipi, kuwa muelewa kwa vitu simple kama hivyo. Waonekana class ulikuwa unavamia maswali pasipo kusoma instructions eeenh! Dah kuwa makini utakuwa unafail mara kwa mara maana kila kona unaenda opp.sasa vijana!! hamuwez kuwa sawa kwa kila jambo,kila mtu anamtazamo wake pia mkubali kutokukubaliana.NIVYEMA MTOA MADA USIWEBIASED maana hawawezi kaka kikao wazee 500 na vijana 500 ukasema vijana na wazee wote wamekubali.kwa jiji kama hilo kitafiti sample iliyotumika hainishawishi japo mk nimeweka idadi kubwa lakini bado hainishawishi.KATIBA SIO USHINDANI BALI NIMARIDHIANO