Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Raha tuUsinyooshe nyonge, we jirushe mi nizidi flow
Whaddup son, mbona umepoza namna gani?
Mfukoni hauna money, au kichwani mambo flani?
Ndani ya nyumba we zama bado shwari
Na hapa tupo ambao tumezama ile kidili
💯🤝[emoji2][emoji2] Imejisend kutoka wapi? huwa tunawachora sana mnavyokataa wakati ukweli upo peupe. Mimi siku hizi nshaacha kuhangaika mtu ana michepuko shauri zake. Kama mtu mzima anashindwa kujichunga ndio nikaweze mie? Huwa nakaa zangu kimya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni asili kabsa mwanaume sio rahis kukubal au kuomba msamaha , ata akikubali hawez sema direct kuna kaujanja tu atakatumia kukuweka sawa.[emoji2][emoji2] Imejisend kutoka wapi? huwa tunawachora sana mnavyokataa wakati ukweli upo peupe. Mimi siku hizi nshaacha kuhangaika mtu ana michepuko shauri zake. Kama mtu mzima anashindwa kujichunga ndio nikaweze mie? Huwa nakaa zangu kimya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume akichepuka sio kwamba hakupendi[emoji2][emoji2] Imejisend kutoka wapi? huwa tunawachora sana mnavyokataa wakati ukweli upo peupe. Mimi siku hizi nshaacha kuhangaika mtu ana michepuko shauri zake. Kama mtu mzima anashindwa kujichunga ndio nikaweze mie? Huwa nakaa zangu kimya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo muelewa tunahitaji wanawake kama wewe kwenye mahusiano[emoji2][emoji2] Imejisend kutoka wapi? huwa tunawachora sana mnavyokataa wakati ukweli upo peupe. Mimi siku hizi nshaacha kuhangaika mtu ana michepuko shauri zake. Kama mtu mzima anashindwa kujichunga ndio nikaweze mie? Huwa nakaa zangu kimya.
Sent using Jamii Forums mobile app
💯🤝Mwanaume akichepuka sio kwamba hakupendi
Acha urongo wewe 😅😅Na mimi nafanya hivyo kukwepa ugomvi na watu.
Nb. sina michepuko 😄
Hili somo ni gumu sana wanawake kutuelewa sisi tukichepuka ni tofauti na wao. Mwanamke akichepuka ujue hisia zake na upendo vinahamia kwa njemba ya njeMwanaume akichepuka sio kwamba hakupendi
Ni kwel kabsa mkuu mwanamke mchepukaji hafai kabsa kuendelea nae tena anaweza ata kukuua.Hili somo ni gumu sana wanawake kutuelewa sisi tukichepuka ni tofauti na wao. Mwanamke akichepuka ujue hisia zake na upendo vinahamia kwa njemba ya nje
Ni ngumu sana kukuta mwanamume anamponda mke wake mbele ya mchepuko lakini wake za watu mara nyingi hadi wanawadhalilisha na wanawatukana waume zao tukiwa nao 6×6
Kwani nawafahamu mkuu?
Aah kuna wengne inakua ndio bye bye.Mwanaume akichepuka sio kwamba hakupendi
Sina mchepuko bwana [emoji23][emoji23]Acha urongo wewe [emoji28][emoji28]
Sawa sawa.Hii ni asili kabsa mwanaume sio rahis kukubal au kuomba msamaha , ata akikubali hawez sema direct kuna kaujanja tu atakatumia kukuweka sawa.
Wajinga tu hao
Hutoboi.Kama maada inavyojieleza hapo juu, wanaume wenzangu msipende kujibu sms iliyo tumwa juu ya screen.
Ni bora uifungue na kuijibu ila sio juu ya screen [emoji24][emoji24][emoji24], sina hamu mke katuma sms na mchepuko katuma sms papo hapo nikajibu kwa mchepuko nikikumbushia tulivyo enjoy guest kumbe inaenda kwa wife [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ahahhahah Wanawake aga wanalipa visas, unataka akubless kumkomoa mwamba eeh.Hatuwapagi namba ya laini za watu wako wa muhimu michepuko,,,Sajili namba kwa ajili ya hao michepuko ambayo utakuwa unawapa kwa ajili kufanya nao upuuzi,,,na jitahidi uwe na simu mbadala kwa ajili ya upuuzi wako,,,Nipasie namba za mke wako nimalize mchezo!! ili amani irudi kwa ndoa yenu!!
Hii usiombe ikukuteiyo kitu ogopa sana mm nashkr ilinitokea kipind sijaoa nlipigwa chini mazima coz nlkua mtu wa matukio sana..nyingine usipende kumuonyesha vitu kwenye simu mkeo kunakuaga na tumesej twa wasap kitatumwa mida hio
Duh[emoji849]Hii ndio akili, simu yangu sijawahi ruhusu aina yoyote ya notification.. na mda wote ipo kwenye silent mode