Vijana na wazee mliopo kwenye ndoa msipende kujibu SMS za michepuko zinazotokea juu ya Screen

Vijana na wazee mliopo kwenye ndoa msipende kujibu SMS za michepuko zinazotokea juu ya Screen

[emoji2][emoji2] Imejisend kutoka wapi? huwa tunawachora sana mnavyokataa wakati ukweli upo peupe. Mimi siku hizi nshaacha kuhangaika mtu ana michepuko shauri zake. Kama mtu mzima anashindwa kujichunga ndio nikaweze mie? Huwa nakaa zangu kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni asili kabsa mwanaume sio rahis kukubal au kuomba msamaha , ata akikubali hawez sema direct kuna kaujanja tu atakatumia kukuweka sawa.
 
[emoji2][emoji2] Imejisend kutoka wapi? huwa tunawachora sana mnavyokataa wakati ukweli upo peupe. Mimi siku hizi nshaacha kuhangaika mtu ana michepuko shauri zake. Kama mtu mzima anashindwa kujichunga ndio nikaweze mie? Huwa nakaa zangu kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo muelewa tunahitaji wanawake kama wewe kwenye mahusiano
 
Mwanaume akichepuka sio kwamba hakupendi
Hili somo ni gumu sana wanawake kutuelewa sisi tukichepuka ni tofauti na wao. Mwanamke akichepuka ujue hisia zake na upendo vinahamia kwa njemba ya nje

Ni ngumu sana kukuta mwanamume anamponda mke wake mbele ya mchepuko lakini wake za watu mara nyingi hadi wanawadhalilisha na wanawatukana waume zao tukiwa nao 6×6
 
Ni kwel kabsa mkuu mwanamke mchepukaji hafai kabsa kuendelea nae tena anaweza ata kukuua.
 
Kama maada inavyojieleza hapo juu, wanaume wenzangu msipende kujibu sms iliyo tumwa juu ya screen.

Ni bora uifungue na kuijibu ila sio juu ya screen [emoji24][emoji24][emoji24], sina hamu mke katuma sms na mchepuko katuma sms papo hapo nikajibu kwa mchepuko nikikumbushia tulivyo enjoy guest kumbe inaenda kwa wife [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hutoboi.
20230403_002052.jpg
 
Hatuwapagi namba ya laini za watu wako wa muhimu michepuko,,,Sajili namba kwa ajili ya hao michepuko ambayo utakuwa unawapa kwa ajili kufanya nao upuuzi,,,na jitahidi uwe na simu mbadala kwa ajili ya upuuzi wako,,,Nipasie namba za mke wako nimalize mchezo!! ili amani irudi kwa ndoa yenu!!
Ahahhahah Wanawake aga wanalipa visas, unataka akubless kumkomoa mwamba eeh.
 
iyo kitu ogopa sana mm nashkr ilinitokea kipind sijaoa nlipigwa chini mazima coz nlkua mtu wa matukio sana..nyingine usipende kumuonyesha vitu kwenye simu mkeo kunakuaga na tumesej twa wasap kitatumwa mida hio
Hii usiombe ikukute
 
Back
Top Bottom