Vijana ndoa muhimu, Gerald Hando amezeeka ghafla

Uzee ni baraka, mi natamani mshua hata angeishi miaka 50 lakini ndo hivyo aliondoka kbl hata hajanusa 40, dogo nae kamfata mzee mapemaa ngoja nione mie km nitatoboa walau mpaka 80 sio mbaya

Jitahidi ufute hiyo Hali maana inakuwa kama Laana.

Tafuta makuhani wakusaidie kufuta mkosi huo.
Ukileta mchezo 50 hutoboi
 
Sio kweli, imetokea tu kufa mapema sio laana na wewe usinitishe, unawazungumziaje vichanga vinavyokufa baada tu ya kuzaliwa? Au vikiwa bado tumboni??? Babu na bibi nimewakuta na waliishi kwa kadri Mungu alivyowajalia bibi kafariki kamuona mtoto wangu yani kitukuu chake nk na mimi ni mjukuu wa last born wake
 
Mkûu sikutishi.
Wala sijaongea Kwa Nia Mbaya.
Nimeongea kile ninachokijua.

Kama kwèñu ulikuta Bibi na babu zako wakutosha Basi Huna haja ya kuhofia
Lakini kama ni Bibi mmoja au Babu mmoja huku Wengine wakiondoka Kabla ya Miaka 60 jua unakitu unatakiwa ufanye.

Hiyo Ipo biologically na spiritually

Kama kwèñu Wazee na Watu wazima NI wengi Huna haja ya kuhofia.
 
Sijakulaumu wala, niko very positive, ndo maana nikakuuliza kuhusu wanaofariki wakiwa bado vichanga inakuwaje? Ni laana? Mkosi au nini?
Umenikumbusha mzee mmoja msibani alitoa kauli mfanano na yako lakini kwa dhihaka flani hivi,, ni mwaka huu huu mjukuu wake wa miezi 7 kafariki, baada ya miezi kadhaa akafariki kijana wake (nje ya ndoa) na hakuwa na 40, ilibidi nitafute namba yake nikamkumbusha nae afanye .maombi,

Kifo ni haki ya kila aliye hai, mada pana hii tuiache
 
Sawa kapeace
 
Hivi kwa nini binadamu huwa tunasahau hili?yaani mimi hata nione kakonda kabaki moja huwa simtabirii kifo haya mambo yanasiri kubwa mgonjwa kuwa hai mzima kufariki
Wabongo tuna tabia chafu ya kutabiria watu vifo bila kujua kwamba hata sisi tuko safari. Mtu akimwa au kokonda utasikia ohh yuko kwenye grid. Utadhani yeye ana uhakika kama atakufa bila kuungwa kwenye grid.
Wazima wanakufa kila leo na kuacha wagonjwa hoi vitandani.
 
Back
Top Bottom