Tena siku hizi vijana wanakufa sana kuliko na hao wazee, mwaka jana tulikuwa na kamgogoro ka nyumba na bamkubwa bhana, sasa dogo anaenifata akawa anaongea mbovu sana, kuwa mtu mwnyewe kazeeka hana muda mrefu ataondoka nikamwambia hata km anatunyanyasa vipi huwezi kusema hivyo kifo kinakuja bila hodi, usishangae ukamuacha we ukatangulia, akasema aaah we sis nitolee busara zako huyu atatuacha na huo wakati ukifika tutaonyeshana!!!!! Ooohhhh mwaka huu mwanzoni kapiga chini kalala aliyekuwa anamkandia alikuwepo msibani mpaka sasa yupo,, hicho ndio kifo