Vijana ndoa muhimu, Gerald Hando amezeeka ghafla

Vijana ndoa muhimu, Gerald Hando amezeeka ghafla

Nje ya mada. Hivi mvi huwa kuna some cases ikifika muda zinatoweka kwa muda? Mimi zilianza kutoka nikiwa na 38 years hivi, kwa kuwa nilijiona bado kijana nikawa naweka piko. Baada ya kuvuka 40 nikaona ni utumwa, nikaacha kuweka niziachie. Lakini ajabu ni kwamba hazitokei tena kwa sasa
Mi zimeanza tangu nilipokuwa na miaka 26, huyo dogo amefariki na 31 lakini kichwani zilishazagaa kama mtu mwenye 60-70, inategemea na ukoo labda
 
Naogopa kuzeeka, Mungu anitie nguvu.....
Uzee ni lazima bingwa, halafu unavyokubamba unaweza bishi, maana umri unasogea kwa kasi ya kipanga.

Zikianza tu 'shikamoo' za kijingajinga, elewa ushaanza kusogea hivyo jiandae.

Halafu wapenda mambo yetu yalee, akipita mtu anamvutia, wakati umri ushakataa, utasikia akikohoa tu, 'koh koh koh' na kuishia kujilaum tu... 'ndzah'.

Lakini wajanja wanawaingiza makuwadi kibaruani.
 
Ndoa inapambaniwa hapa si mchezo😄
Sasa mimi namtaka huyo Hando?kwanza nakutana nae wapi?ni hivi,nilitaka tu kukumbusha umuhimu wa ku spare maneno kuliko kuona mtu mwenye ugonjwa fulani ndio atatangulia kufa wewe kwa vile huna huo ugonjwa utaishi hadi uzeeni,Hapana huo ni ufinyu wa mawazo,tanua mawazo yako fahamu kifo ni kwa kila mwenye uhai,na bad enough hatujui siku wala saa na tunaondoka kiana gani ...so just be humble bro
 
Back
Top Bottom