Vijana ndoa muhimu, Gerald Hando amezeeka ghafla

Sasa ajuza waenda saloon kufanya nini na umri ushakutupa mkono?
Kujikeep keep 😹

images (18).jpeg
 
Sasa kwa nini haoi warembo wote hawa Town?
Ukimsikiliza kaka yake Dida kuhusu kilichosababisha mauti ya dada yake, hamu ya kuoa inatoka wapi hapo?

Bora uzeeke uendelee kuishi kuliko kujitia una moyo mpana ukaishia njiani
 
Mm sikuwahi kujua kwamba wanaume nao huwa wanapaka make up.

Naamuru jf imchunguze mtoa mada tujue kabisa kama ni upinde ama laah.
Acha ungese wrewe studio za Radio/Tv kuna watu maalum wameajiriwa kuwapaka makeup watangazaji,huwezi kutokea kwenye luninga uso mkavu,naongea mimi pdidy wa bongo njoo nikupake mafuta
 
Nje ya mada. Hivi mvi huwa kuna some cases ikifika muda zinatoweka kwa muda? Mimi zilianza kutoka nikiwa na 38 years hivi, kwa kuwa nilijiona bado kijana nikawa naweka piko. Baada ya kuvuka 40 nikaona ni utumwa, nikaacha kuweka niziachie. Lakini ajabu ni kwamba hazitokei tena kwa sasa
 
ZIkirudi mara ya pili utsimba haleluya,ila bora mvi kuliko upara ,kuotesha nywwle ni milion 4
 
Ukimsikiliza kaka yake Dida kuhusu kilichosababisha mauti ya dada yake, hamu ya kuoa inatoka wapi hapo?

Bora uzeeke uendelee kuishi kuliko kujitia una moyo mpana ukaishia njiani
Kifo ndio kitu pekee binadamu tuna uhakika nacho,hata usipokufa kama Dida utakufa kwa namna nyingine...ajali,usingizini,malaria,kuhara n.k...so usijione huumwi kama Dida ukajihakikishia kufika huko uzeeni unakokutaka
 
Ndoa inapambaniwa hapa si mchezo😄
 
Back
Top Bottom