Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Mwanaume jifunze kuwa full independent. Hautakiwi kumtegemea mwanamke kwa lolote linalokuhusu wewe binafsi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha yake iko wapi tushuhudie makunyanzi.Gerald Hando live hajaweka makeup msibani kwa Dida,niseme amezeeka ghafla.
Naamini ni uchungu wa kufiwa na mke ,upweke unamzeesha.
Ukifiwa na mke usikae zaidi ya miezo sita bila kuoa,sonona itakumaliza
Nashangaa wanadamu utu uzima ukianza hata 30 tu utasikia flani kazeeka ukiumwa au kutetereka kimaisha watakusakama ulivyozeeka ghafla km mtoa mada, ila kwenye msbirthday wishes ni hao hao wanakuandikia uishi sana miaka mia mara elf sasa si bora waandike usiishi sana usije kuzeeka tukaanza masimango,Kuna binadamu asiyezeeka?
Uzee ni kukaribia kifoNashangaa wanadamu utu uzima ukianza hata 30 tu utasikia flani kazeeka ukiumwa au kutetereka kimaisha watakusakama ulivyozeeka ghafla km mtoa mada, ila kwenye msbirthday wishes ni hao hao wanakuandikia uishi sana miaka mia mara elf sasa si bora waandike usiishi sana usije kuzeeka tukaanza masimango,
uzee ni baraka hata kwenye biblia imetajwa km zawadi ya kuheshimu baba na mama yako,
Uzee ni baraka, mi natamani mshua hata angeishi miaka 50 lakini ndo hivyo aliondoka kbl hata hajanusa 40, dogo nae kamfata mzee mapemaa ngoja nione mie km nitatoboa walau mpaka 80 sio mbayaUzee ni kukaribia kifo
Leo mrembo wangu umeongea point sana, naunga mkono hoja hata kuna andiko linasema kichwa chenye mvi ni barakaNashangaa wanadamu utu uzima ukianza hata 30 tu utasikia flani kazeeka ukiumwa au kutetereka kimaisha watakusakama ulivyozeeka ghafla km mtoa mada, ila kwenye msbirthday wishes ni hao hao wanakuandikia uishi sana miaka mia mara elf sasa si bora waandike usiishi sana usije kuzeeka tukaanza masimango,
uzee ni baraka hata kwenye biblia imetajwa km zawadi ya kuheshimu baba na mama yako,
Pole sana, Mungu ni mwema 80 utafikisha. Sasa hivi unacheza kwenye mingapi?Uzee ni baraka, mi natamani mshua hata angeishi miaka 50 lakini ndo hivyo aliondoka kbl hata hajanusa 40, dogo nae kamfata mzee mapemaa ngoja nione mie km nitatoboa walau mpaka 80 sio mbaya
Hamjaumbwa hivyo, labda muanze mazoezi ya kufua, na kuosha vyombo huku mtoto wako yuko mgongoni, na muda huo maharage yanachemkia jikoni.Mwanaume jifunze kuwa full independent. Hautakiwi kumtegemea mwanamke kwa lolote linalokuhusu wewe binafsi.
Naogopa kuzeeka, Mungu anitie nguvu.....Uzee ni baraka, mi natamani mshua hata angeishi miaka 50 lakini ndo hivyo aliondoka kbl hata hajanusa 40, dogo nae kamfata mzee mapemaa ngoja nione mie km nitatoboa walau mpaka 80 sio mbaya
Naogopa kuzeeka, Mungu anitie nguvu.....
MmmhNani anataka kuwekwa kwenye grid?
Na nkienda saloon kupaka rangi kucha wateja (wajukuu zangu) wananiteta "huyu bibi vipi" 😔Na ukizeeka utaitwa kikongwe...
OkkkNashangaa wanadamu utu uzima ukianza hata 30 tu utasikia flani kazeeka ukiumwa au kutetereka kimaisha watakusakama ulivyozeeka ghafla km mtoa mada, ila kwenye msbirthday wishes ni hao hao wanakuandikia uishi sana miaka mia mara elf sasa si bora waandike usiishi sana usije kuzeeka tukaanza masimango,
uzee ni baraka hata kwenye biblia imetajwa km zawadi ya kuheshimu baba na mama yako,
Na nkienda saloon kupaka rangi kucha wateja (wajukuu zangu) wananiteta "huyu bibi vipi" 😔
Ukiwa na pesa mwanaume uwa hazeeki!Gerald Hando live hajaweka makeup msibani kwa Dida,niseme amezeeka ghafla.
Naamini ni uchungu wa kufiwa na mke ,upweke unamzeesha.
Ukifiwa na mke usikae zaidi ya miezo sita bila kuoa,sonona itakumaliza