Vijana nisikilizeni, mwanaume wa ukweli hakai ukweni.

Vijana nisikilizeni, mwanaume wa ukweli hakai ukweni.

Siku ukija kupigwa na maisha wala hutajiuliza mara mbili,utaenda bila kuambiwa na mtu. Mimi mwenyewe nina miaka mitano kati ya kumi ya ndoa yangu nipo ukweni.
Vp mkuu yule mpenzi wako wa chuo ameshakucheki mkuu au ndo upo kwao unamsubiri amalize chuo?
 
Back
Top Bottom