Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
sijajua imekua trend au ndio ulofa wa zama hizi, mtoto wa kiume una toa wapi nguvu ya kulala na kukoroma ukweni?
Sifa ya mwanaume ni kupambana uwe na himaya yako, hata kama umepanga still ni kwako.
una maamuzi na uchaguzi wa kufanya hili au lile, sasa huko ukweni uta amrisha uchemshiwe maji ya kuoga?.
Kwanza hiyo akili au nguvu ya kuhamia ukweni mna itoa wapi?, arghhh shubamiti.
Nisikilizeni mwanaume wa ukweli hakai ukweni.