Vijana oeni mabinti wenye kwao

Umenena vyema.
 
Sijui hata nicomment nini. Itoshe kusema tu, ukichagua sana katika kuoa utapata kuoa janga. Mchagua nazi sana hupata koroma.
 
Humu ndani wanaume vilio havikauki. Hi Vita inaonekana kuwa ngumu, sjui wadogo zetu itakuaje Mana vijana wa hovyo ndio watakuja kuwa wazee wa kuwashauri.
#Mass Destruction πŸ€•
 
Ila bila kuwa bias nyumba isiyokuwa na Baba chunguza Kwa makini source of death ya mkuu wa kaya kama hajafika umri wa uzee.

Kina mama wengi wanapenda kutawala nyumba lakini ni kinyume na mpango wa Mungu na ikitokea hivyo hapo hakuna malezi si Kwa Watoto wa kike wala wa kiume ni hasara tupu.
 
ndg yangu anakaa na manzi aliekimbia kwao hajarudi mwaka mzima kwahiyo nimshauri nn mkuu?
 
Nimemkumbuka Farhia msomali wangu.
Shetani anajua kuwahi na kujimegea vitu vizuri.

Eee Farhia ni nani aliyekuloga?
Uzuri umepewa lakini huuheshimu kabisa
 
Kabla haijaingia kwenye doa mtafute Mungu ambaye ndiye mwasisi wa ndoa.Vijana tusiangalie maumbile na mvuto kwasababu hivyo havidumu...mke mwema mwenye hofu ya Mungu ndiye anayekufaa.
 
Hayanaga muongozo...

Umdhanie siyo ndiyo, ndiyo, na umdhanie ndiyo, ndiyo siyo...
 
Binti ukiona muda wake mwingi wa shule kautumia boarding/hosteli hakuna mke hapo.
Labda Kama unatafuta house mate. Hapo sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…