Vijana oeni mabinti wenye kwao

Vijana oeni mabinti wenye kwao

Ukiona wa hivyo anaweza akaaga anaenda kwao,na asifike akaishia kwa jamaa yake, na wewe ukiuliza kwao watakwambia amekuja
Hilo hatari zaidi, Kuna wengine wanategemewa kulisha familia kwakutumia mbususu za Binti zao kwahiyo kuweni makini sana, mabint wa zamani hata ukimnunulia saa anakataa kwamba ataiweka wapi???. Wa saizi mzazi ana kiswaswadu bint ana iphone shituka hapo!!
 
Mkuyenge ndio utaamua tabia ya mke sio jambo lingine lolote.
Mkuyenge unazoeleka, kwani hujawah ambiwa na msichana bila wewe siwezi ishi na mlishaachana na anaendelea na maisha yake jiulize anaishije bila wewe shituka!!
 
Hilo hatari zaidi, Kuna wengine wanategemewa kulisha familia kwakutumia mbususu za Binti zao kwahiyo kuweni makini sana, mabint wa zamani hata ukimnunulia saa anakataa kwamba ataiweka wapi???. Wa saizi mzazi ana kiswaswadu bint ana iphone shituka hapo!!
Kabisa ,umeongea ukweli mtupu ,ndio mana ndoa za siku hizi hazidumu,wazazi wamewafanya mabinti zao kuwa vitega uchumi
 
Hee kwahiyo sisi wa boarding kuanzia form 1 hadi chuo(hostel) ndiyo tusitegemee ndoa kabisa [emoji23][emoji23] wanaume hamueleweki mnahitaji nini , vigezo gani hivo sasa. Siyo sura wala chura tena, mnatuchanganya[emoji3]
Mke ni zaidi ya sura.
Mke anatakiwa kuwa mama na sio house mate.
Unaoa mke hata kuchemsha chai hawezi ataweza kulea watoto huyo.?
Kufua kwenyewe anafuliwa muda wote.
Mke unaoa aafu baadaye unaona ni Bora hata ungeoa house girl aliyepo nyumbani!!
 
Kuoa na ni maamuzi mazito sana. Ukikosea unaweza ukaumia sana. Ni bora kubaki kama ulivyo zaliwa, ulikuja bila kitu na utaandoka bila kitu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]🥱[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]🥱🥱🥱🥱🥱🥱
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Endeleeni kupambana.

Ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu.
Sindio maana bill gate kaachwa kumbe na Yeye Akili Hana bwana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimemkumbuka Farhia msomali wangu.
Shetani anajua kuwahi na kujimegea vitu vizuri.

Eee Farhia ni nani aliyekuloga?
Uzuri umepewa lakini huuheshimu kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila humu ndani dahhh nacheka kama mazuri
 
Basi mue mnatufanyia usaili tuje na vyeti vya kuzaliwa vya wazaz ,namba ya nyumba etc
 
Usioe mwanamke ambaye anaishi mji mmoja na wazazi wake ila yeye ameenda kupanga/kujitegemea.

Mwanamke hata kama anamiaka 50, anatakiwa awe anarudi kwao, ndio mana ya send off kufanyika.
 
Back
Top Bottom