Vijana oeni mabinti wenye kwao

Binti ukiona muda wake mwingi wa shule kautumia boarding/hosteli hakuna mke hapo.
Labda Kama unatafuta house mate. Hapo sawa.
Hee kwahiyo sisi wa boarding kuanzia form 1 hadi chuo(hostel) ndiyo tusitegemee ndoa kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚ wanaume hamueleweki mnahitaji nini , vigezo gani hivo sasa. Siyo sura wala chura tena, mnatuchanganyaπŸ˜€
 
Kuoa na ni maamuzi mazito sana. Ukikosea unaweza ukaumia sana. Ni bora kubaki kama ulivyo zaliwa, ulikuja bila kitu na utaandoka bila kitu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] dhaaaaa
 
Hee kwahiyo sisi wa boarding kuanzia form 1 hadi chuo(hostel) ndiyo tusitegemee ndoa kabisa [emoji23][emoji23] wanaume hamueleweki mnahitaji nini , vigezo gani hivo sasa. Siyo sura wala chura tena, mnatuchanganya[emoji3]
Sahii tunataka wachakarikaj
Hatutak goal keeper
 
Si tulikubaliana tusipangiane maisha

Tunahtaji wanawake wenye akili na sio waliosoma
Yap kupanga ni kuchagua, ukiamua kuwa masikini mwenye mateso mpaka kaburini ni wewe
 
Key points oa huku ukiisha kitahadhari kwa kujifunza toka kwa yawapatayo wengine. Anaweza akawa mwema na akaja kukukimbia wakati wa shida.
Pana jamaa alikuwa vizuri kimaisha kapata shida ya figo akiwa hospital mke wa ndoa tena kabila lake kabeba KILA kitu na watoto jamaa kaachwa pekee yake
 
Hamna kuoa…

Kataa ndoa…

Utanishukuru baadae[emoji1635][emoji1635]
 
Hakunaga formula mkuu we muombe tu Mungu akupe wa kufanana na wewe
 
Kwani mambo ya kuoa mnayapa kipaumbele?

Kumbe bado kuna watu mnafikiria kuhusu hizo mambo na kupoteza muda kiasi hicho, poleni
 
Huyo demu sio wa arusha kale kaostazati keupe kamemaliza chuo mwaka huu mkuu? 😑
 
Kweli kabisa, bint ambaye anasema kwao hawana noma hata akilala kwako jiulize mara mbili
Ukiona wa hivyo anaweza akaaga anaenda kwao,na asifike akaishia kwa jamaa yake, na wewe ukiuliza kwao watakwambia amekuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…