Vijana oeni mabinti wenye kwao

Usioe mwanamke ambaye anaishi mji mmoja na wazazi wake ila yeye ameenda kupanga/kujitegemea.

Mwanamke hata kama anamiaka 50, anatakiwa awe anarudi kwao, ndio mana ya send off kufanyika.
Hakika
 
Ww kaka usijidanganye tena usijidanganye kabisa..... Mwanamke kama hajatulia ni hajatulia tu awe kwao awe uchochoroni.......Watu wanakwao na bado usiku wanafunguliwa mageti na walinzi wanaenda kukesha uchafuni huko asubui Wazazi wakiamka wanamkuta dem wao yupo rum anadai kichwa kinauma
Wengine wakitumwa sokoni tu hiyo nafasi wanaitumia kwenda kutafuta bao moja kwa masela wao na kurudi maniska
Wengine kila jumapil kanisani na wanasali ibada tofauti na Wazazi kusudi wakitoka wapite kwa wahuni wapigwe mandole
Aiseh ujawajua watoto wa kike mjuba
 
Hao hawaishi kwao, wanaishi kwenye madanguro ,unaelewa maana ya mtu anayeishi kwao lakini?usifikiri nyumba kuwa na geti na walinzi ndio kwao
 
Hao hawaishi kwao, wanaishi kwenye madanguro ,unaelewa maana ya mtu anayeishi kwao lakini?usifikiri nyumba kuwa na geti na walinzi ndio kwao
We jichanganye tena jichanganye kweli.....kua kipofu siku ukiona utazima
 
Kijana wakiume zingatia mwanamke mwenye kwao. Mkuu mtoa chapisho amemaanisha mwanamke mwenye maadili aliye fundwa vzr. Au nimekosea mkuu.?
 
Kijana wakiume zingatia mwanamke mwenye kwao. Mkuu mtoa chapisho amemaanisha mwanamke mwenye maadili aliye fundwa vzr. Au nimekosea mkuu.?
Umelenga mulemule mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…