Mzinza wa town
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 347
- 369
Kuweka cannula ni kazi ya daktariUkiangalia kwa upeo huo huwezi make conclusion kwa sababu hujui mishe mishe anazofanya nje ya kazi yake...., kinachozungumzwa hapa na mleta mada ni kuwa nursing iko juu kwa sasa kuliko udaktari [emoji2] [emoji2] [emoji2] hiki kitu hakiji kutokea hata siku moja,,, kwanza nurse huwa wanawaona ma Dr kama viongozi wao na huwa wanapokea order tuu ni mwendo wa kuambiwa weka canula hapa speed to maximum and you follow,,Na huo ndo utaratibu
Degree ya nursing ina shule kuzidi degree ya udaktari??..hell noNurses wasiku izi wanashule awapelekeshwi kama nurses Wa zamani
Si kweli kama dr anaweza fanya kazi zote anazofanya nurse kwa mfano namna ya kufanya bed bath inavyotakiwa kiprocedure nurse hufundishwa namna ya kufanya lakini daktari hafundishwi namna ya kufanya bed bath na vingine vingi tu nurses wanafanya madaktari hawawezi fanya.Huu ubishan si mzur kwa kuwa nurses na Dr huwa wanatoa huduma kwa Jamii,, Nurse Ana shule kwa level yake lakini si kiwango cha kulinganishwa na Dr,,,, Dr anaweza kufanya kazi zote anazofanya nurse Lakin kinyume chake tunaweza Pata maajabu
Ni program mbili tofauti na zina curriculum tofautiDegree ya nursing ina shule kuzidi degree ya udaktari??..hell no
Kuna mwenzako anadai nursing Wana shule kubwa kuliko u DrNi program mbili tofauti na zina curriculum tofauti
Inategemea na aina ya nurse na chuo alichosoma huyo nurse na kujituma kwa mtu binafsi Kwa mfano chuo nilichosoma MD, nursing na Bpharm wote tulikuwa tunasoma pamoja, tunashare walimu na mtihani wote ni mmoja kwa courses kama microbiology, parasitology, clinical pharmacology, basic na clinical physiology, biostatistics, health psychology, DS na si kweli kwamba MD students walikuwa siku zote wanaongoza katika course zote kwa sababu kusoma udaktari haimaanishi utawazidi wengine kwa kila kitu.Kuna mwenzako anadai nursing Wana shule kubwa kuliko u Dr
Hata MD graduates wako ambao heri ya COs, hopeless.Fact. Lakini wapo wauguzi wa degree wa hovyo bora hao wa certificate na diploma and vice versa. Na kwa madaktari vivyo hivyo
Sidhani ka inaweza kuwa sababu za kisomi hizi zama zimebadilika mkuuKazi Ya Kisister Du.
Najiribu Kuwaza Wewe
Ni Baba Uliye Somea Unesi
Mtoto Wako Tena Wa Kike Anakuuliza "Baba Unafanya Kazi Gani " Unabaki Kulamba Lips Tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani lasema hivHospitali zipi zinaajiri madaktari wengi kuliko wauguzi?!!...huu sasa uwongo
Didhani kama umemuelewa mtoa mada amelinganisha fursa not title, koz kititle md ipo juu tu inajulikana hivyoUkiangalia kwa upeo huo huwezi make conclusion kwa sababu hujui mishe mishe anazofanya nje ya kazi yake...., kinachozungumzwa hapa na mleta mada ni kuwa nursing iko juu kwa sasa kuliko udaktari [emoji2] [emoji2] [emoji2] hiki kitu hakiji kutokea hata siku moja,,, kwanza nurse huwa wanawaona ma Dr kama viongozi wao na huwa wanapokea order tuu ni mwendo wa kuambiwa weka canula hapa speed to maximum and you follow,,Na huo ndo utaratibu
Una uhakika na hiki unachosema??Si kweli kama dr anaweza fanya kazi zote anazofanya nurse kwa mfano namna ya kufanya bed bath inavyotakiwa kiprocedure nurse hufundishwa namna ya kufanya lakini daktari hafundishwi namna ya kufanya bed bath na vingine vingi tu nurses wanafanya madaktari hawawezi fanya.
Nina uhakika. Na ukae ukijua mimi sio mwanafunzi shule nilishamaliza na nimepractise hospitali na health centers tofauti tofautiUna uhakika na hiki unachosema??
Kipi apewe kipi asipewe,, kipi nurse afanye & in any changes nurse afanye nn anapo mu alert Dr... These aren't order? Isn't your responsibility? Me naona tuwaache vijana wanaotaka kusoma wasome wanachopenda na sio kuwadanganya kuwa akisoma fani fulan atakuwa secured
Aliyetengeneza huu uzi naona kama vile hamjamuelewa vizuri...yeye amemaanisha kwamba nursing ina fursa nyingi za ajira kuliko udaktari which is true!... hata ukiangalia mahospitali wakitangaza nafasi za ajira wanakuwa na uhitaji wa Nurses wengi kuliko facualty zingine zote za afya including MD!...Wanaweza tangaza nafasi 200 kwa ajili ya Nurses na nafasi 5 kwa ajili ya Doctors!...Kuhusu title ni kweli Doctor ana title kubwa kuliko Nurse ila mwenye nafasi kubwa ya kupata ajira ni Nurse kuliko Doctor!!...Kwahyo hapa sasa ni ww mwenyewe kuchagua kati ya title au ajira!
MMED ndo wachache MDs wengi mno hadi health centers wanaajiriwa siku hiziNimekuelewa chief kuwa nurses Wana fulsa nyingi ama nafasi zao hutangazwa kwa wingi kuliko MD's. Sababu iliyopo ni saving,,,, unaposemea fulsa sijui mnaangalia idadi inayotangazwa au uhitaji wa jamii husika. MD's hata zikitangazwa nafasi tano kwenye setting fulan huwa hawapatikan kirahisi pia... So fulsa zipo na nawaencourage vijana waombe tuu coz anayopenda wa nursing aombe ingawa nurse wa kiume ukimwita "nurse"mbele ya mgonjwa inaonekana shida pia na anaweza asikuitikie kabisa..,,,,