Mzinza wa town
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 347
- 369
Nimefanya kazi na residents na registers wachache na wamenifundisha vitu vingi. Intern doctors sikuvutiwa nao coz wengi wao ni weupe kichwani na wamesoma hiyo systemic pathology. Kuna mambo mengi unapaswa kuyajua ili uwe daktari ingekuwa ni systemic pathology basi kila MD 2 na MD3 student angekuwa daktari.Labda magonjwa ya minyoo na malaria ndio mnatibu...everything about systemic pathology mko empty maana hamjasoma hii koz....muwe na heshima bhn...yaan Dr mlinganishe na dentist ila sio kozi za like kama nursing..bullshit
Zaidi ya hayo kuna course ambazo nurse wanazisoma ndo sinafanya wawe nurses kama vile medical and surgical nursing ambayo daktari haisomi na haimuhusu