SITAKI KUWA TAJIRIView attachment 2921369
Mtoto wa billionea Mukesh Ambani anatarajiwa kufunga ndoa siku chache zijazo, ndoa ambayo itatanguliwa na party ya siku 3 mfululizo. Watu wa karibu, wadau, Celebrities na CEO wanategemewa kuhudhuria nikiwemo mimi, Mark zuck, Bill gates na wengine wengi..
Moral of the story: Vijana tafuteni hela, pisi haziangalii six pack siku hizi, pochi nene ndio dili.
KabisaTofauti ni kwamba wenye six pac wanapewa bure
Acha ubishoo mdogo anguTunatafuta kwa ajili ya afya, na kuepuka kero ya kuchapiwa.
Halafu uzuri pesa na 6 pack vinaweza tafutwa kwa pamoja.
nakazia..,.SijaonaKWA India huyo mwanamke ni Ebitoke
Wewe kaza fuvu ukajua ni nyepesiManeno ya mkosaji.
Huwezi fanikiwa bila kuwa tajiri
Nimemwamvia anasema yeye anaenda kuosha masufuria tu kwenye hiyo partyyeye ni mwehu mwambie
India age na uzuri ni inversely proportionalnakazia..,.Sijaona
Hujamuelewa ila kaongea cha maana sana.Maneno ya mkosaji.
Huwezi fanikiwa bila kuwa tajiri
Hahahaha ameweka kafoto niscrow up!!!!?🤔🤠