Saad30
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 2,737
- 5,464
SITAKI KUWA TAJIRIView attachment 2921369
Mtoto wa billionea Mukesh Ambani anatarajiwa kufunga ndoa siku chache zijazo, ndoa ambayo itatanguliwa na party ya siku 3 mfululizo. Watu wa karibu, wadau, Celebrities na CEO wanategemewa kuhudhuria nikiwemo mimi, Mark zuck, Bill gates na wengine wengi..
Moral of the story: Vijana tafuteni hela, pisi haziangalii six pack siku hizi, pochi nene ndio dili.
NATAKA KUFANIKIWA