Vijana tafuteni hela sio six packs, mtoto wa Mukesh Ambani anavuta kigoli matata kabisa japo ni tipwatipwa

Vijana tafuteni hela sio six packs, mtoto wa Mukesh Ambani anavuta kigoli matata kabisa japo ni tipwatipwa

View attachment 2921369

Mtoto wa billionea Mukesh Ambani anatarajiwa kufunga ndoa siku chache zijazo, ndoa ambayo itatanguliwa na party ya siku 3 mfululizo. Watu wa karibu, wadau, Celebrities na CEO wanategemewa kuhudhuria nikiwemo mimi, Mark zuck, Bill gates na wengine wengi..

Moral of the story: Vijana tafuteni hela, pisi haziangalii six pack siku hizi, pochi nene ndio dili.
SITAKI KUWA TAJIRI
NATAKA KUFANIKIWA
 
Six packs unaweza zipata ndani ya 6 months.

Pesa nimeanza tafuta tangu 2010.

As usual maskini kuonekana wazembe na wavivu
Ndo hvo, maisha haiko fair. Ila endelea kutafuta hela
 
Kuoa una hela ni uzwazwa, chamsingi zalisha hudumia, mjengee kila anaezaa akae na mwanae au wanae we kula maisha kwa uhuru kabisa.
 
Maneno ya mkosaji.

Huwezi fanikiwa bila kuwa tajiri
Hujamuelewa ila kaongea cha maana sana.
Kufanikiwa ni kufikia malengo yako ya kimaisha uliyojipangia,utajiri ni hadhi ya ziada.
Mbona ukiwa na kipato cha kati unao uwezo wa kufanikisha ndoto zako ??
 
Back
Top Bottom