Vijana tafuteni partner sio mke


Kwa andiko hili unapwaya kwenye nafasi ya MWANAUME
Jitafute
Jiheshimu
Heshimu wanawake pia
 
Umesema "Mungu anusuru hiki kizazi" Huyo Mungu aliamuru mwanaume aoe mwanamke bikra, sasa hao wanawake bikra wako wapi ulimwengu wa leo ambao hakuna mwanamke ambae hajatoa mimba walau tatu ?!.

Huyo Mungu anusuru kizazi na upinde ila enyi wanake kua makombo machafu ni sawa eti ?!!
 
Hatufungi ndoa,sababu yakutafuta mke, tunafunga ndoa sababu ya kutunza familia katika maadili.Mtu anayesema ndoa,mbaya na mshangaa sana.Mimi binafsi nitaoa sababu nimelelewa kwenye misingi ya baba na mama.
 
Kwa andiko hili unapwaya kwenye nafasi ya MWANAUME
Jitafute
Jiheshimu
Heshimu wanawake pia

Je ni uongo upi nimesema, kama nimesema ukweli ya nini kunihukumu kua napwaya kama mwanaume ?!

Nyie wanawake kwenu mwanaume hua ni yule anaetetea upumbavu wenu, mwanaume akiwapa ukweli mnamdhihaki na wala hiyo haisaidii. Mapema yote hii badala mwanamke umuandalie mwanaume kifungua kinywa wewe uko mitandaoni unalumbana, hata hivyo ungempata wapi mume ulivyo malayer wa mtandaoni ??!

Jumapili mwanamke mwema anawahi kanisani "Tuwapate wapi wanawake wanaojua kuomboleza" : Malaki Lenyewe mapemaa hiyo mitandaoni kudanga afu linamtaja Mungu anusuru kizazi stupid, dirty, silly, feminist bitch.
 
Hatufungi ndoa,sababu yakutafuta mke, tunafunga ndoa sababu ya kutunza familia katika maadili.Mtu anayesema ndoa,mbaya na mshangaa sana.Mimi binafsi nitaoa sababu nimelelewa kwenye misingi ya baba na mama.
Kuna Jamaa mmoja hapo juu kadai kuwa Wazee wa "KATAA NDOA" wengi ni Mapunga(michicha miba) daaah [emoji1784][emoji30]
 
Punguza jazba Ndugu, Ke wengine walisali jana maana si wote ni Waumini katika madhehebu yanayosali Jpili.
 
Huyo mwanamke wa hivyo labda awe mjane au jishangazi flani hivi. Mtoto wa kike below 25 huwezi mfanya partner bila malengo ya kumvisha pete. Utapoteza sana hela za kodi hizo 😀😀😀
 
umepanic sana mkuu,take a chill pill
 
Nyie ni wale vijana mnavaaga makobazi na soksi na vipensi
 
Kwa andiko hili unapwaya kwenye nafasi ya MWANAUME
Jitafute
Jiheshimu
Heshimu wanawake pia
One thing I know, mpunguze kupeleka lawama zote kwa mwanaume kana kwamba yote yalipoanza kutokea mpaka kufika hapa kwa wanawake hamkuyaona. Implementation za women empowerment ambazo zilivuka mipaka na kuingilia hadi dhumuni halisi ya ndoa, watoto wa kike kulelewa katika maadili yasiyosahihi akiandaliwa kutokumuheshimu mumewe na huku akitegemea atunzwe na sheria zilizotungwa zinazomfanya mwanaume awe obedient more than mwanamke huku yakifumbia macho matatizo mengi wanayofanya wanawake. Mngekuwa kweli nimsaada mngetatua chanzo nasio kutupa lawama. You kill masculinity, blaming it's toxic then expect a man to exercise masculinity, that is madness. Nashuhudia wanawake kwenye maovu hufumbiana macho sana tena hushabikia ila hamtaki kurekebishana. Mnataka msaada kwamtu mliyemfunga, thats not justice or empowerment bali ni uonevu. Tabia nyingi za wanawake za ajabu zimekuwa normalized kwaneno kuwa wanawake ndiyo walivyo then you want to blame a man. Mind you walionormalize ni society na society at large ni women. So take accountability of your actions maana mlianzisha sehemu kubwa ya hayo majanga. Bases ni feminism!
 
Wht Abt you men were you allowed to have a sex with a woman without marriage?,[emoji57] virginity works on both sides
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…