mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Kama wanawake wamekua wabia ndani ya karakana ya shetani katika kuifanya ndoa kua mwiba mchungu kwa wanaume kwa kuchomekea 50/50, iliyozaa ujuaji, kiburi, jeuri.
Je, Wanaume wangefanyaje basi ?!. huku mifumo ya sheria ikiwakandamiza wanaume, mwanamke anaweza kufanya upuuzi na akaleta jeuri anajua kuna "dawati la jinsia" ambalo kimsingi lipo kumtetea mwanamke na kumkandamiza mwanaume ?!
ndoa nyingi zimekua janga na chanzo ni WANAWAKE na wanalo dawati la kuwatetea. Nawaunga mkono vijana wakiona upepo hauko sawa wasioe, kwanza siku hizi maku zimekua cheap na available na hata wakijaribu kuoa hakuna jipya wanawake wa leo ni mabwawa matupu.
View attachment 2522482
Kwa andiko hili unapwaya kwenye nafasi ya MWANAUME
Jitafute
Jiheshimu
Heshimu wanawake pia