Eeh kweli, vingine hivyo ni vya kupita 😂Kikubwa uhai 😀
Na vipitee kiukweliEeh kweli, vingine hivyo ni vya kupita 😂
Ndio ile uko na mpenz wako unaumwa hoi yeye anachezea simu yuko instgm ana selfie tuu...utaumia kisaikolojia had uchanganyikiwe...well..nahis hata hao matajiri wanafaham hilo kuwa hawapendwi ila na wao wanatafta utamu tuuKuwa na pesa inaweza ikawa ni kigezo cha kuwa na wanawake wengi au yeyote lakini isiwe kigezo cha wewe kupendwa kwa dhati (kutoka moyoni) na hao wanawake.
Hapo ndio tunapokuja kubali kuwa "Pesa ina uwezo wa kununua chakula, ila haina uwezo wa kununua hamu ya kula"
Wengi wamelizwa kwa kuamini kuwa kumiliki pesa ndio kupata mpenzi wa kweli (anae kupenda kutoka moyoni) na matokeo yao wakaambulia maumivu tu.
Nyie mapenzi yaacheni tu, hayanaga formula.
Utaweza kununua penzi lake (ngono) ila hautaweza kununua upendo wake wa dhati kutoka moyoni.
Sana sana atachota pesa kwako atampelekea aliempenda.
Mabilionea duniani wasingeachana, ukiwafatilia utakuta kiuhalisia wanateseka tu kwenye mahusiano au ndoa zao na mpunga wanao.
Vipitie kwakoEeh kweli, vingine hivyo ni vya kupita [emoji23]
Kabisa mkuuNdio ile uko na mpenz wako unaumwa hoi yeye anachezea simu yuko instgm ana selfie tuu...utaumia kisaikolojia had uchanganyikiwe...well..nahis hata hao matajiri wanafaham hilo kuwa hawapendwi ila na wao wanatafta utamu tuu
Hahaa sawaVipitie kwako
Wanakwambia “I rather cry in a Mercedes Benz than crying on a bus”.Kuwa na pesa inaweza ikawa ni kigezo cha kuwa na wanawake wengi au yeyote lakini isiwe kigezo cha wewe kupendwa kwa dhati (kutoka moyoni) na hao wanawake.
Hapo ndio tunapokuja kubali kuwa "Pesa ina uwezo wa kununua chakula, ila haina uwezo wa kununua hamu ya kula"
Wengi wamelizwa kwa kuamini kuwa kumiliki pesa ndio kupata mpenzi wa kweli (anae kupenda kutoka moyoni) na matokeo yao wakaambulia maumivu tu.
Nyie mapenzi yaacheni tu, hayanaga formula.
Utaweza kununua penzi lake (ngono) ila hautaweza kununua upendo wake wa dhati kutoka moyoni.
Sana sana atachota pesa kwako atampelekea aliempenda.
Mabilionea duniani wasingeachana, ukiwafatilia utakuta kiuhalisia wanateseka tu kwenye mahusiano au ndoa zao na mpunga wanao.
But the truth will always remainWanakwambia “I rather cry is a Mercedes Benz than crying on a bus”.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi humu ndani kuna mabilionea au lakionea [emoji1787][emoji1787]
Humu tumejazana bukulioneaHivi humu ndani kuna mabilionea au lakionea [emoji1787][emoji1787]