Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
😂😂😂 ndio maana mapovu mengiHumu tumejazana bukulionea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 ndio maana mapovu mengiHumu tumejazana bukulionea
Unataka kupendwa kwa dhati? Mama yako huyo?Kuwa na pesa inaweza ikawa ni kigezo cha kuwa na wanawake wengi au yeyote lakini isiwe kigezo cha wewe kupendwa kwa dhati (kutoka moyoni) na hao wanawake.
Hapo ndio tunapokuja kubali kuwa "Pesa ina uwezo wa kununua chakula, ila haina uwezo wa kununua hamu ya kula"
Wengi wamelizwa kwa kuamini kuwa kumiliki pesa ndio kupata mpenzi wa kweli (anae kupenda kutoka moyoni) na matokeo yao wakaambulia maumivu tu.
Nyie mapenzi yaacheni tu, hayanaga formula.
Utaweza kununua penzi lake (ngono) ila hautaweza kununua upendo wake wa dhati kutoka moyoni.
Sana sana atachota pesa kwako atampelekea aliempenda.
Mabilionea duniani wasingeachana, ukiwafatilia utakuta kiuhalisia wanateseka tu kwenye mahusiano au ndoa zao na mpunga wanao.
Bilionea mchezo.Hivi humu ndani kuna mabilionea au lakionea [emoji1787][emoji1787]
Wewe sio Bill Lugano ?Ila watu wa JF bana 50k USD mnaiona ni kubwa Sana wakati Jana nimenunua saa ya diamonds na Ruby yenye thamani ya 400k USD huku Dubey!
EhheheBilionea mchezo.
Kuna movie niliangalia, kijana tajiri alikua anatafuta mchumba. Alikwenda mbali kutafuta chumba na kuishi kisela ili ampate mke atakae mpenda kimapenzi.Kweli mapenzi sio pesa ila pesa inakuweka kwenye nafasi nzuri ya kupigania penzi.
Kaka zangu tafuteni pesa. Mwanaume mwenye pesa haachwi kirahisi huwa anapumzishwa tuu.
Ukiangalia 90% ya wanaume wanaolia lia kuumizwa na mapenzi ni wale kaka zangu mimi pangu pakavu tia mchuzi.
Ukiwa na pesa ni rahisi hata kumpata mwanamke wa ndoto zako.
Pesa haijawahi kushindwa..
DoohKuna movie niliangalia, kijana tajiri alikua anatafuta mchumba. Alikwenda mbali kutafuta chumba na kuishi kisela ili ampate mke atakae mpenda kimapenzi.
Alimuangukia beauty Queen mmoja mtaani, dada alikataa katakata akidai hataki kuambukizwa umasikini. Mwanaume anapikia jiko la mafuta hata jiko la gas hana.
Alikuja kupendwa na dada mmoja na alimuoa. Siku ya harusi ndiyo watu walijua bwana harusi ni tajiri. Beauty Queen alikunywa sumu kuona alitupa kipande cha almasi chooni.
KWELI kabisa,Ndio ile uko na mpenz wako unaumwa hoi yeye anachezea simu yuko instgm ana selfie tuu...utaumia kisaikolojia had uchanganyikiwe...well..nahis hata hao matajiri wanafaham hilo kuwa hawapendwi ila na wao wanatafta utamu tuu
Apo nimekuelewa kumbe akili yako inawalenga wale wa kununua a.k.a DangasUnataka kupendwa kwa dhati? Mama yako huyo?
Mimi hapa ni bilionea.Nina undugu na bilionea shillaHivi humu ndani kuna mabilionea au lakionea [emoji1787][emoji1787]
Mkuu nimetolea mfano tu, so kama pesa hata baadhi ya wanawake wanazo za kutosha tu, wanaume wa dizaini kama nyie/ mitazamo kama yenu mlio kalilishwa kuwa kumiliki mwanamke mpaka uwe na pesa ndio huwa mnawaogopa sana wanawake wenye uchumi wao tayari, maana unamuona kashakuzidi uchumi na wewe ulishakalilishwa kuwa kumpata mwanamke mpaka uwe na pesa. Wajanja mjini ndio wanaoopoa pisikali wenye mikwanja yao.Hivi humu ndani kuna mabilionea au lakionea [emoji1787][emoji1787]