Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,013
- 14,263
Mapenzi pesa utampataje sasa uyo mwanamk bila pesaKuwa na pesa inaweza ikawa ni kigezo cha kuwa na wanawake wengi au yeyote lakini isiwe kigezo cha wewe kupendwa kwa dhati (kutoka moyoni) na hao wanawake.
Hapo ndio tunapokuja kubali kuwa "Pesa ina uwezo wa kununua chakula, ila haina uwezo wa kununua hamu ya kula"
Wengi wamelizwa kwa kuamini kuwa kumiliki pesa ndio kupata mpenzi wa kweli (anae kupenda kutoka moyoni) na matokeo yao wakaambulia maumivu tu.
Nyie mapenzi yaacheni tu, hayanaga formula.
Utaweza kununua penzi lake (ngono) ila hautaweza kununua upendo wake wa dhati kutoka moyoni.
Sana sana atachota pesa kwako atampelekea aliempenda.
Mabilionea duniani wasingeachana, ukiwafatilia utakuta kiuhalisia wanateseka tu kwenye mahusiano au ndoa zao na mpunga wanao.
[/QUOTE]
unahitaji mapenzi ya kweli ili iweje. achana na hizo dhana
kwanza hakuna kitu kinaitwa mapenzi ya kweli kwa binadamu. uigizaji tu