Vijana tafuteni pesa, mapenzi hayana umri ukiwa na pesa

Mapenzi pesa utampataje sasa uyo mwanamk bila pesa
[/QUOTE]
unahitaji mapenzi ya kweli ili iweje. achana na hizo dhana
kwanza hakuna kitu kinaitwa mapenzi ya kweli kwa binadamu. uigizaji tu
 


Kuna binti jirani yangu alikuwa kisu na kumbuka nipo Advance yy O-Level, mtoto mweupe guu guu, tako la maana ,mzee wake kaweka fensi kubwa.

Mabrother man walikuwa hawakauki asubuhi mpaka jioni, kipindi hiko shule imeninyoosha, pamba zenyewe za Karume, dem ukimsalimia ana kuchunia. Alikuwa na boyfriend wake wanasoma shule moja kipindi cha likizo walikuwa wanakutana kwenye mgahawa full kulana mate.

Nimeenda chuo ile nimemaliza, ukapita kama miaka miwili na muona siku hiyo yupo na babu fulani wana ongozana, babu kala pesi, tshirt, shingoni kala cheni. Ndipo na pewa story yake,yule babu ndiye mumewe na mzee alivyo kuwa mafia, kampiga mimba mbili za faster na mpaa na vitz. Yule boyfriend kumbe alikatiwa Mawasiliano, ila kijana nasikia ni kidumu cha yule binti siku hizi.

Mabinti wanao chagua kustick na true love mbele ya pesa kati ya 1000 hawazidi 3.
 
Kuwa na pesa ndo kuanzia sh ngap?maana naona tu kelele kuwa tutafute hela wkt hatujaweka max or min
 
Wake 6 huyu ndo kidume Sasa, sio sisi wa humu tunaosema kuwa na mke mmoja Ni discipline.
 
Miaka 61 ni mstaafu umri wa pinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…