Vijana, thamani yako haipimwi na kiasi cha pesa ulichonacho. Usikubali kuingizwa kingi na wanawake

mimi nilikuwa mmoja wao nilikuwa napima uanaume wang kwa pesa mimi binafsi nakushukuru kwa mafunzo yako ndo yakanifanya nijitambue kama kijana huenda nigekuwa mmoja wao

Pole sana.
Ukiusikiliza moyo wako umekwisha.
Hii Dunia watu wote huutumia moyo wako kama lango la kukunyonya.
Watatu imani, mapenzi na wewe kwa hiyari yako utaona upo sahihi kunyonywa 😆😄😄

Hawatataka akili yako itafakari, idadisi, iulize maswali.
 
Hakika
 
Una akili Sana kaka
 
Mbona sikutani na wat
 
Mbona sikutani na watu sahihi jamani
 
Mbona sikutani na watu sahihi jamani

Ukiwa gizani huwezi kuona waliojificha. Ukiwa nuruni utaona mbivu na mbichi

Akili yako bado inagiza ndio maana wanaokufuata ni rahisi kukuficha na kujificha usiwaone
 
Pole sana.
Ukiusikiliza moyo wako umekwisha.
Hii Dunia watu wote huutumia moyo wako kama lango la kukunyonya.
Watatu imani, mapenzi na wewe kwa hiyari yako utaona upo sahihi kunyonywa

Hawatataka akili yako itafakari, idadisi, iulize maswali.
asante
Unayosema ni ya kweli kwa vijana tunaogopa upweke na mabadiliko tunavumilia dharau na manyanyaso ili tusiwaudhi watu wakaondoka jambo bora kwa kijana awe na muda wa kujisikiliza mwenyewe ndo ataishi kishujaa
 
Mbaga Jr pitia huu uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…