Vijana, thamani yako haipimwi na kiasi cha pesa ulichonacho. Usikubali kuingizwa kingi na wanawake

Vijana, thamani yako haipimwi na kiasi cha pesa ulichonacho. Usikubali kuingizwa kingi na wanawake

Ukipigwa za uso lazima uchoke.

Alafu mapenzi walati mwingine ni mfumo tuu. Ukiuseti mfumo wako vibaya lazima ukuletee Vichomi.

Mfumo ndio utaleta mtu mwenyewe sio wewe unahangaika.

Ni ukweli na hakika kwamba mahusiano mengi ya watu wenye furaha yalianza kwa mzaha bila wao kufikiri kama yangefika mbali 😆😀

Kwamba mapenzi hayakuanza tangu siku ya kwanza. Ingawaje mmoja anaweza kuwa alivutiwa na mwingine
Nielekeze namna ya kuset huo mfumo sitaki tena vichomi nmechoka
 
Back
Top Bottom