Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Forex ndo biashara gani?Forex inakupa matumaini sana lakini ukweli ni kua haiwez kukutoa utaendelea kupoteza hela kisa kuangaika na signals!!
Unaweza jiona unaweza kwenye demo acc
Ukiingiza hela ndo utajua!!
Kuna namna broker wanafanya kuzikula hela zako
Biashara ya kuuza spinachi kwa Bei kubwa na kununua kabichi kwa Bei rahisi ili uspate faidaForex ndo biashara gani?
Mkuu Mwl.RCT hata usihangaike kumwaminisha mtu awaye yote kitu chochote. Anayeona forex ni kamali mwache aamini. Anayeona ni business let it be. Hakupunguzii faida Wala hakuongezei faida. Mimi ukiniuliza kilimo ndio kamali hasa (Mkulima ana gharama za kilimo lakini hajui atauza Bei gani na atapata kiasi gani kwa sababu Bei ni ya siku hiyo hiyo sokoni).Sio kweli, Tuache kutafuta sababu.
Adui mkubwa katika forex ni wewe mwenyewe, Utakapofikia hatua ya kuuukubali huu msemo, basi ndio mwanzo wa wewe kuwa profitable trader, Hii ina maana kuwa katika biashara yeyote ile adui namba moja wa biashara husika ni mfanya biashara husika.
Trades nilizofungia siku Jana. xxxJPY
View attachment 2032397
Fungua Chart yako na hakiki hii live trade, hiyo hapo juu.
View attachment 2032400
Wakati GJ inaendelea nilirekodi hii video
Nikafunga siku kwa hii 81%
View attachment 2032405
Hakiki entries za trades zangu za jana zote kwenye Telegram Channel yangu:
Code:https://t.me/DTTfx
Faida na Hasara ipo kwenye kila aina ya biashara! Ni jukumu lako kupambana ili utoke kwenye Hasara ZONE.
Watu wengi wanaopiga ela kwenye mambo mengi uwa ni low profile, wahamasishaji uwa mara nyingi wanalenga kunasa watu wa kula pesa yao kwa njia eti wanawafundisha.Forex inakupa matumaini sana lakini ukweli ni kua haiwez kukutoa utaendelea kupoteza hela kisa kuangaika na signals!!
Unaweza jiona unaweza kwenye demo acc
Ukiingiza hela ndo utajua!!
Kuna namna broker wanafanya kuzikula hela zako
Na mm naomba link pm mkuu....asante sanaNdio utaratibu wa kuweka link unao shauriwa kutumika hapa JF.
Nakutumia active link PM
----Edit---
Tayari nimekutumia PM
Kuna wanafunzi wengi sana wa huyo jamaa(Mr.Michael) wamelipia hela nyingi kujifunza hiyo course lakini hawawezi kutrade kwa sababu ya hizo changamoto mbili nilizozitaja hapo juu.
Mkuu hawa FF wao wanatrade strategy gani?View attachment 2035971
Nimeikuta mahala hii comment
"ICT (Michael Huddleston) is brilliant, even though most of what it teaches is likely garbage and filler, the 5% that is not garbage is genial, in my opinion."
Source: FF
Sio bila indication Ila wew ndo huzioni indications. inaonekana umeingia kwenye forex ukaanza kuwinda pesa na sio maarifa yakeHesabu si kamali linakua na jibu na nji zza hesabu ziko bayana ushindwe wewe!! Sasa forex haina njia za uhakika apo apo unaambiwa muda wwote inaweza kubadilisha ulekeo bila hata indication!!!
FF ni forum. kama ilivyo JFMkuu hawa FF wao wanatrade strategy gani?
Hahahhaahha ndio statement ya bwana sir jeff denisWaliotajirika kwa forex wapo wengi tatizo Forex ni biashara yenye utajiri mkubwa zaidi duniani ambayo hakuna benki na matajiri watataka uijue🐒
Kirefu chake ni nini?FF ni forum. kama ilivyo JF
- ForexFactoryKirefu chake ni nini?
Kwa akili hizi nitafute unywe supu bure!!!! usiogope walinzi wangu wee jitambulishe tu halafu ingia bure uleeeeeeee.....Mkuu Mwl.RCT hata usihangaike kumwaminisha mtu awaye yote kitu chochote. Anayeona forex ni kamali mwache aamini. Anayeona ni business let it be. Hakupunguzii faida Wala hakuongezei faida. Mimi ukiniuliza kilimo ndio kamali hasa (Mkulima ana gharama za kilimo lakini hajui atauza Bei gani na atapata kiasi gani kwa sababu Bei ni ya siku hiyo hiyo sokoni).
Nimetrade forex pairs, ni good business kama ilivyo ya kununua mahindi, kuweka stoo kusubiri January na February soko likikaa poa tuuze.
Ina hasara zake na faida zake kama ilivyo biashara yoyote ile. Hata mahindi na mpunga una hasara nyingi tu lakini watu hawaoni. Ni ngumu Sana kitu kukubaliwa na wote.
Kila mtu afanye anachoweza na usitake kuwa msemaji wetu, ukipata hasara ni wewe waache wengine waendelee.
SafiMan down man down, do you copy??