Ukienda Kufanya exhange sidhani kama Unapoteza hela zotee sasa forex ni sawa na kubet unaliwaaa zoteeeeunapoenda Bank yoyote kununua au kuuza foreign currency tayari umetrade, sasa nashindwa kuelewa huo upatu unatoka wapi hapo.
Shida inakuja pale mtu anaweka $100 anataka baada ya dak 60 akute $150 na huo ndio nauita upatu.
Kiujumla mm nilitrade na nilipoteza $150 nakuamua kutuliza kichwa kutafakari wapi nakosea.
Weka stop lossUkienda Kufanya exhange sidhani kama Unapoteza hela zotee sasa forex ni sawa na kubet unaliwaaa zoteeee
Nan huyo Bongo zozoKuna yule mhamasishaji na shabiki wa taifa stars alihojiwa siku moja kwenye tivii anawezaje kugharamia kusafiri kila sehemu taifa stars inapocheza akajibu ametrade sana japo hapendi hamasisha vijana.
So inaweza isikulipe wewe lakini kuna watu imewanufaisha.
Kwahyo wanaotajirikia forex wote walikubaliana kustay low profile?Una uhakika ama hujakutana na people making it through forex...sio kila mtu he is high profile wengine wako low profile and they are making it
Wapo watu kibao wako high profile na ni wengi tu labda hujakutana nao tu...ukitaka Nina ku connect nao muda wowoteKwahyo wanaotajirikia forex wote walikubaliana kustay low profile?
But the point of exercise is clear. Every existing object in this world is empty. This means that no object in this world is good or bad from its own side; one man's meat is another man's poison. An object becomes good or bad according to your own perceptions/view, and these perceptions are dictated very precisely by the good or bad imprints/beliefs you put in your mind in the past. Problems are not problems from their own side; rather, there's something in your mind making you see the problem as a problem. Every problem can be turned into an opportunity because no problem is problem in and of itself.Forex inakupa matumaini sana lakini ukweli ni kua haiwez kukutoa utaendelea kupoteza hela kisa kuangaika na signals!
Unaweza jiona unaweza kwenye demo acc
Ukiingiza hela ndo utajua!
Kuna namna broker wanafanya kuzikula hela zako
Is the hardest way to get easy money.Bora ukabet mpira ila sio Forex huko, kuna master wangu wa mambo ya mitandao ana make money sana online ila aliponiambia hivo bora ukabet mpira, sikutaka tena hata kujua folex ni kitu gan kabisa.
Weka instagram zaoWapo watu kibao wako high profile na ni wengi tu labda hujakutana nao tu...ukitaka Nina ku connect nao muda wowote
Wapo wengi nawajua mimi, @pip_urs, @ sir_walies, @ fxbillionaretz n.kWeka instagram zao
[emoji28] piga Shule ya forex kwanza,then ndo uchezee... UtaipendaaNiko radhi nifanye kazi masaa 16 per day kuliko kucheza forex
Aloooi print hii mstari iwekee lamination njoo hapa miaka .mitano ijayo ,unakutana na dogo 20-22 mshahara wako mwaka .ndo pesa yake ya bundle la .mweziNiko radhi nifanye kazi masaa 16 per day kuliko kucheza forex
Bro wengine hawana hata Instagram ukitaka nakupa namba zao kabisa uwaulize kama forex imewatoa sehmu moja au hapana..ila pia next week ninafanya challenge yang personal kutoa dollar 100 kwenda somewhere nitakupa investor password uone nitakachofanya kwa kushuhudia ili uamini Haya mambo ni skills TuWeka instagram zao
On point manAloooi print hii mstari iwekee lamination njoo hapa miaka .mitano ijayo ,unakutana na dogo 20-22 mshahara wako mwaka .ndo pesa yake ya bundle la .mwezi
Nina young bro angu 17yr zawadi pekee ntakayo mpa mapema akihit 18 mwakani ni kumfundisha financial ..markets, na kumpa kila kinachostahili,
Hahahahahahaha eti miaka mitano ijayo kama forex ingekuwa simple hvo sawa[emoji23][emoji23]Aloooi print hii mstari iwekee lamination njoo hapa miaka .mitano ijayo ,unakutana na dogo 20-22 mshahara wako mwaka .ndo pesa yake ya bundle la .mwezi
Nina young bro angu 17yr zawadi pekee ntakayo mpa mapema akihit 18 mwakani ni kumfundisha financial ..markets, na kumpa kila kinachostahili,