Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana mnapurulwa vijisenti vyenu. Watu wenye mitaji yao wanatrade daily, weekly na monthly time frames. Anaweka set up zake mbili hadi nne kwa mwezi kwa lot ya kutosha halafu anaendelea na mishe nyingine za kitaa na anapiga hela ndefu bila kukaa kwenye computer muda mwwingi. Sisi na vimitaji vyetu vya dola 10 tunatrade 5min had 1hour ambako ni chenga tupu na muda wote macho kwanye kioo na mouse mkononi. Wengine wamepata hadi matatizo ya macho kwa kukaa sana kwenye screen. TRADE SMART NOT HARD.Bongo zozo anawaingiza king wazungu wana siri zao, hiyo forex anatrade saa ngapi na muda mwingi yupo kwenye misele maeneo mbalimbali?
Tena yeye amesema yupo kwenye Bitcoin lakini ni longolongo utakuta mwenzio anakula urithi alioacha Babu yake.
Sasa mbona wengi hawazipendi hesabu na wanafeli sana japokuwa njia zake zipo bayana? Hata fx njia zake zipo bayana kwa wanajibidisha ila kwa wavivu na wataka mafanikio ya fasta lazima fx iwapige cha nyumaHesabu si kamali linakua na jibu na nji zza hesabu ziko bayana ushindwe wewe!! Sasa forex haina njia za uhakika apo apo unaambiwa muda wwote inaweza kubadilisha ulekeo bila hata indication!!!
Unataka ushahidi,mimi personally n trader na ninafanya,inshu trading inahitaji muda sana kuielew mkuu..niwekee namba yako then nitakuonyesha pesa sio ngumu kaka kama utamaster trading,people have secrets broUna ushahidi au unasikiliza story unazoambiwa
Mbona Ontario ametajirika kupitia forex ?
Sema nini watu wanaliwa sana vichwa huko forex.. mimi kwa uzoefu wangu mdogo kinachopoteza wengi ni emotions na mitaji midogo...
Ila kama issue imekushinda usicoclude kwamba hakuna watu wanaotengeneza hela, mimi nilijaribu huo mchezo 2017, ila baada ya muda nikapiga hesabu nikakuta deposits ni nyingi kuliko withdraw nikapiga chini toka siku hiyo. Nilipopata alternative ya blogging sikurud tena mpaka leo.
Ila naona vijana bado wanakomaa, mm kuna dogo huwa namuuzia usd mpka 400 kila wiki, na ananunua toka kwa watu tofauti kuna muda ananunua mpka usd 10k na zote zinaenda fx, nyingine anaziuza na nyingine anadeposit yeye mwenyewe.
Kwahiyo nilichoona fx kuna watu inawalipa ndo maana soko la hizi usd halijawahi kauka.
Kama umeona kwako haiwezekani ni jambo jema, fanya mambo mengine.
Ontario akamatwe afungwe jiwe kubwa sana shingoni atupwe baharin tena katikat ya bahariMbona Ontario ametajirika kupitia forex ?
we jamaaa, eti hiiiiiiiiiiHakika. Siwezi poteza hela zangu kwenye upuuzi. Naangalia raia wanavyochezea mitaji yao nasema “ Hiiiiiii AaaaHaaa “ [emoji38][emoji38][emoji38]
Hakika fanya hivyo. Watakapoona matokeo ndipo watauliza "unafanya ushu gani"kwa mwaka huu kwa mwaka huu wacha nile pips kimya kimya tu muda wa uanze kumwaminisha mtu nishauacha tangu mwaka jana
wabongo awachekewI kukuita freemsaonHakika fanya hivyo. Watakapoona matokeo ndipo watauliza "unafanya ushu gani"
Ontario akamatwe afungwe jiwe kubwa sana shingoni atupwe baharin tena katikat ya bahari
ONTARIO na lile life style la viwanja . Za chini nasikia yule dogo wa landcruiser sijui ndo richlitforex kashapiga watu 😀😀😀
makundi mawili yaliyo vichwa ngumu
(1) wanawake wasiolewa kwa kumuamini mwamposa huwaambii kitu
(2)vijana wa chuo na forex&betting
Kumbe umechoma,forex intk ngozi ya mambaHe he he sikusikia